• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

HALMASHAURI YA MJI WA MBINGA YAFIKIA ASILIMIA 65.3 YA LENGO LA UANDIKISHAJI WANAFUNZI WA DARASA LA KWANZA

Tarehe ya kuwekwa: January 9th, 2024


Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari---Mbinga TC


Mbinga.  Ikiwa imesalia miezi mitatu kufikia ukomo wa usajili wa wanafunzi wapya wa darasa la kwanza kwa mwaka wa masomo wa 2024, tayari Halmashauri ya Mji wa Mbinga imefikia asilimia 65.3 ya lengo la uandikishaji.


Akizungumza siku ya Jumatatu (Januari 8, 2024), Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Aziza Mangosongo alisema wanafunzi wapya ambao wameandikishwa tangu zoezi hilo lianze Oktoba mwaka jana, ni 2,994.  


Kati yao, 1,498 ni wasichana na 1,496 wavulana, alifafanua Mh. Aziza wakati wa ziara yake ya kutembelea shule za Sekondari Mbinga, na Dr. Philip I. Mpango iliyopo Kata ya Matarawe pamoja na Shule ya Msingi Matengo (Kata ya Matarawe).


Maoteo ya Halmashauri hiyo yenye shule za msingi za serikali 83 ni kuandikisha wanafunzi 4,588 ifikapo Machi 31, 2024.


“Naamini tutafikia lengo,” alisema Mhe. Aziza, huku akiwataka wanafunzi kusoma kwa bidii ili wawe msaada kwa Taifa hapo baadaye,”.


              Picha kubwa

Mpaka kufikia asubuhi ya Jumatatu (Januari 8), Mhe. Aziza alisema jumla ya wanafunzi walioandikishwa kuanza darasa la kwanza kwa Wilaya nzima ya Mbinga yenye shule za Msingi za Serikali 251 ni 8,345.


Tafsiri yake ni kuwa kama Halmashauri ya Mji wa Mbinga imeandikisha wanafunzi 2,994, Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga imeandikisha wanafunzi 5,351.


Aidha, kwa upande wa elimu ya awali, wanafunzi wapya walioandikishwa katika Wilaya ya Mbinga ni 7,844 kwa mwaka wa masomo 2024.


Kati yao, 2,588 ni kutoka Halmashauri ya Mji wa Mbinga na 5,256 Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.


Katika ziara yake, Mkuu wa Wilaya aliambatana na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga, Mhe. Kelvin Mapunda, Mkurugenzi Bi. Amina Seif na wakuu wa Idara na Vitengo.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.