• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

HRNS TANZANIA YAIPA MBINGA MJI MICHE YA MITI 50,000

Tarehe ya kuwekwa: February 16th, 2024



Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari---Mbinga TC


Mbinga. Katika harakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, HRNS Tanzania imeipatia Halmashauri ya Mji wa Mbinga miche ya miti 50,000 itakayopandwa katika maeneo mbalimbali ya Halmashauri hiyo.


Wiki mbili zilizopita, Mratibu  wa Mradi ---HRNS Bw. Godfrey Wilgod alisema miti hiyo itapandwa kwenye vyanzo vya maji,  maeneo yaliyoharibika ili kuyaboresha, pamoja na maeneo yanayozunguka shule na taasisi mbalimbali.


HRNS, shirika lisilokuwa la kiserikali linalotekeleza miradi yake katika mikoa mitano ya Ruvuma, Songwe, Mbeya, Kilimanjaro na Arusha, limejikita katika, pamoja na mambo mengine, kutoa elimu ya kujikabili na mabadiliko ya tabia nchi kupitia upandaji wa miti.


“Kwa kuanzia tutatoa miti 50,000. Lengo letu kubwa ni kuhakikisha tunaboresha mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi,” alisema Bw. Wilgod wakati wa uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti shuleni iliyofanyika  katika shule ya Msingi Mkwaya iliyopo katika kata ya Kilimani.


Alisisitiza kuwa HRNS itaendelea kutoa mafunzo ya uhamasishaji juu ya namna gani wananchi wanaweza kutunza mazingira siyo tuu kwa kupanda miti bali kwa kufanya shughuli nyingine mbalimbali.


Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mhe. Alex Andoya aliwashukuru HRNS kwa jitihada zao za kusaidia Halmashauri kutunza mazingira na hivyo kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.


“Nawapongeza HRNS kwa kuona umuhimu wa kupanda miti,” alisema Mhe. Andoya, ambaye pia ni diwani wa Kata ya Kilimani.


Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Dkt. Kung’e Nyamuryekung’e alisema msaada wa HRNS una maana kubwa sana katika harakati za kupambana na mabadiliko ya tabia nchi.


“Sasa ni wakati muafaka kwa mashirika mengine kuiga mfano wa HRNS,” alisema Dkt. Nyamuryekung’e.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.