• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

KIPINDI CHA PILI CHA AWAMU YA TATU TASAF KUWANUFAISHA WATOTO AMBAO NI RASILIMALI WATU KUANZIA MWAKA 2020 HADI 2023

Tarehe ya kuwekwa: April 23rd, 2021


Kikao kazi hicho ambacho kilikuwa na lengo la ni kwa namnagani litawajengea uwelewa wadau kuhusu sehemu ya pili ya awamu ya tatu ya mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF.Mpango wakati wa kipindi cha Pili kimelenga  kuwezesha kaya za walengwa kutumia fursa za kuongeza kipato na huduma za jamii na uchumi na kuwekeza katika kuendeleza watoto wao ambao ni rasilimali watu.

Aitha kipindi cha pili cha awamu ya tatu ya TASAF kinatekelezwa kuanzia mwaka 2020 hadi 2023, na kwamba utekelezaji utafanyika kwenye mamlaka za maeneo 186 (Halmashauri 184 za Tanzania Bara na Unguja na Pemba, Zanzibar Ikiwa ni pamoja na asilimia 30 ya vijiji, mitaa, na shehia ambazo hazikufikiwa kwenye utekelezaji wa kipindi cha kwanza cha mpango, na kuandikisha kaya maskini sana kwenye vijiji,mitaa, na shehia asilimia 70 za kipindi cha kwanza, ambazo hazikuwa zimeandikishwa.

Msisitizo unatolewa kuziwezesha  kaya kufanya kazi ili kuongeza kipato na kuongeza rasilimali zalishi, kuwa na vitega uchumi vya kudumu, na walengwa kuwekeza katika rasilimali watu hususani watoto. Uboreshwaji wa upatikanaji  huduma za kijamii kama elimu,maji na afya ili kukuza uchumi wa eneo husika unakofanyika  utekelezaji kutokana matokeo ya mpango.

Katika kushughulikia changamoto ,malalamiko ya walengwa na jamii ambayo  yanayoshughulikiwa yanapokelewa kwa njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja simu, barua pepe au barua za posta au kufika ofisini ana kwa ana. Atahivyo uwepo  rejista za malalamiko kwenye vituo vyote vya malipo vita saidia  kurahisisha ukusanyaji wa malalamiko kutoka kwa walengwa

Malalamiko hayo yanayokusanywa kutoka Mamlaka za Maeneo ya Utekelezaji huingizwa kwenye Mfumo baada ya malalamiko kushughulikiwa ingawa suala husika linafungwa lakini hubaki kwenye mfumo kwa ajili ya kumbukumbu

 

TASAF imeandaa utaratibu na hatua za kutambua na kuandikisha kwenye Mpango kaya zenye kukidhi vigezo zilizobaki kwenye Mamlaka ya Maeneo ya Utekelezji yote ya 186 yenye vijiji,mitaa na shehia zaidi ya 6,000. Idadi ya walengwa katika Mpango inakadiriwa kuongezeka na kufikia kaya milioni 1.45 zitakazoandikishwa kutoka zaidi ya vijiji,mitaa,shehia 16,000 .Utambuzi unatumia njia ya ushirikishwa jamii na uhakiki kwa njia za kitakwimu (PMT).

Kaya zenye uwezo wa kufanya kazina zenye watoto 979,918 sawa na silimia 67.6 sambamba na kaya zenye watu wenye uwezo wa kufanya kazi lakini hazina watoto190,988 sawa na asilimia 13.2 .Pia kuna kaya zenye wazee,wenye ulemavu,wagonjwa wa muda mrefu lakini zisizo na watoto179,821 sawa na asilimia 12.4 na kaya zenye wazee na watoto asilimia 6.7 asilimia 0.1ni kaya zinazoongozwa na watoto ambazo zitaandikishwa.

 Utekelezaji kipindi chapili ulijipambanua katika Kufanya mafunzo kwa watumishi kwa ajili ya zoezi la uhakiki wa kaya za walengwa  wa TASAF, katika Vijiji, Mitaa na shehia zilizoshiriki kipindi cha kwanza, kuanzia Juni hadi Agosti 2020 na Novemba  hadi Desemba 2020. Aitha zaidi asilimia 87 ya kaya za walengwa, sawa na kaya 886,724 zilihakikiwa kuwa zina sifa kuendelea kupata huduma za Mpango, na kaya zaidi ya 1,992 ambazo wameimarika kiuchumi zilijitokeza kujiondoa kwenye Mpango kwa hiari.

Na Makangury

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.