• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

KITUO CHA AFYA CHA MBANGAMAO KUNUFAISHA WAKAZI 53,219, KAMATI YA SIASA YA MKOA WA RUVUMA YATOA HEKO

Tarehe ya kuwekwa: October 13th, 2023



Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari----MTC


Mbinga.  Mradi wa kituo cha Afya cha Mbangamao katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga (MTC) wenye thamani ya Shilingi milioni 500, unatarajiwa kunufaisha wakazi 53,219 wa kata tano za Mbangamao, Kagugu, Mpepai, Kikolo na Kilimani.


Mradi huu unahusisha ujenzi wa jengo la wazazi na chumba cha upasuaji, maabara, jengo la wagonjwa wa nje (OPD) na jengo la kufulia.


Mradi huo unaotarajiwa kukamilika Oktoba 30, 2023, siku ya Jumatano ya Oktoba 11, ulimwagiwa sifa kemkem na Kamati ya siasa ya Mkoa wa Ruvuma kwa kutekelezwa kwa viwango vya hali ya juu.      


Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Mhe. Mohamed Ally Khalfani alisema uongozi wa Halmashauri chini ya mwenyekiti wake mahiri Mhe. Kelvin Mapunda na Mkurugenzi mchapakazi Bi. Amina Seif, unafanya kazi nzuri kusimamia mradi huo.


“Mmemtendea haki mama Samia (Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan) kwa kusimamia vizuri mradi huu wa Shilingi milioni 500. Tofauti na nyie, kuna maeneo mengine hawajatendea haki miradi,” alisema Mhe. Khalfani.


Sifa hazikuishia kwa Mwenyekiti na Mkurugenzi, bali zilikwenda mbali kwa Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga, Dkt Kung’e Nyamuryekung’e kwa kusimamia vizuri mradi.


“Mganga mkuu alijigeuza kuwa mhandisi---amesimamia vizuri na anaujua vizuri mradi, endelea kuchapa kazi,” Mhe. Khalfani alimmwagia sifa Dkt. Nyamuryekung’e.


Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Bi. Aziza Mangosongo alisema Rais Samia ana kila sababu ya kupongezwa kutokana na kutoa pesa kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.


Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bi. Amina aliishukuru serikali inayoongozwa na  Mhe. Rais Dkt. Samia, kwa kuipatia Halmashauri ya Mji wa Mbinga pesa kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali.


“Mama Samia anatupenda sana na ndio maana anatupatia pesa kwaajili ya miradi. Kwa muktadha huo tunapaswa kushikamana katika harakati za kutekeleza ilani ya chama chetu,” alisema Bi. Amina.


Mbunge wa Jimbo la Mbinga Mjini Mhe. Jonas Mbunda aliihakikishia Kamati ya Siasa ya Mkoa kuwa miradi yote inayotekelezwa katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga iko salama salimini.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.