• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

M/ kiti na Kamati yake ya Fedha mbinga Mji, wakagua ujenzi wa Zahanati na Vituo vya Afya katika kata za Mbangamao , Myangayanga , Kagugu, na Kilimani

Tarehe ya kuwekwa: January 28th, 2023



Kamati ya fedha na mipango Halmashauri ya Mji wa Mbinga  leo imefanyaa ziara na kukagua  miradi ya vituo cha afya kata ya Myangayanga na Mbangamao, na  miradi miwili ya Zahanati katika kata ya Kagugu kijiji cha Makatani na kata ya kilimani kijiji cha kitelea.

 Zaidi ya kiasi cha fedha shillingi milioni 671.71 zinatarajia kutumika katika ujenzi wa Miradi hiyo ambapo kiasi cha shilingi milioni 550 zinatoka serikali kuu na kiasi cha shilingi milioni 43.67 ni michango ya wananchi na wadau wa maendeleo huku Halmashauri kichangia kiasi cha shilingi milioni 26.1 kutoka mapato ya ndani  katika Zahanati ya kagugu kijiji cha Makatani na kiasi cha shilingi milioni 51.94  Kituo cha afya cha Mbangamao      

Akipokea taarifa kwa  nyakati tofauti za utekelezaji wa miradi hiyo, Mwenyekiti wa kamati hiyo ambae pia Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mhe. Kelvin Mapunda amewapongeza wananchi katika kata hizo kwa kuhamasika kujitoa katika ujenzi unaoendelea katika kata zao, na kuwaomba waendele na moyo huo wa kizalendo kwa kuwa miradi hiyo ni yao, hivyo hawana budi kushiriki na kushirikishwa kikamilifu.   

Aidha amewakata watendaji kuainisha ushiriki wa nguvu za wananchi, wadau  na viongozi katika taarifa za miradi hiyo, ili kuendelea kuleta hamasa kushiriki katika miradi mingine. Sambamba na hilo wajumbe katika kamati hiyo ambao pia ni baadhi ya Waheshimiwa Madiwani  wamepongeza hatua zilizofikiwa katika ujenzi wa Miradi hiyo ,pamoja na changamoto zilizopo katika kukamilisha miradi hiyo wajumbe hao wa kamati wamesisitiza kamati za ujenzi katika miradi hiyo kumaliza ujenzi kwa wakati

Kwa upande wao baadhi ya viongozi wa chama cha Mapinduzi CCM na wananchi waliyo hudhulia katika ziara hiyo, wameishukuru Serikali inayoongozwa na  Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea fedha ili kuweza kufanikisha miradi hiyo katika kata zao. Aidha wamewapongeza baadhi ya viongozi wakiwemo waheshimiwa Madiwani wa kata hizo, Mbunge wa jimbo la Mbinga Mjini Mhe. Jonas Mbunda, Mwenyekiti na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bi Grace Quintine katika kufanikisha upatikanaji na usimamizi wa miradi hiyo.

Na Makangury                             

Matangazo

  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2022 January 04, 2023
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Shule sita Halmashauri ya Mji wa Mbinga za jaza Mikataba kunufaika na ruzuku ya Mfuko wa Misitu Tanzania TaFF

    March 23, 2023
  • Wananchi Mtaa wa Lusewa kata ya Luhuwiko Halmashauri ya Mji wa Mbinga waibua Mradi Ujenzi shule ya Msingi

    March 04, 2023
  • DC MBINGA WANAWAKE OMBENI MITAJI KWA WENZIWENU

    March 01, 2023
  • Kamati ya Fedha na Mipango watembelea na Kukagua Shule ya Sekondari Lusonga

    February 27, 2023
  • Tazama zote

Video

DC Mbinga; Miradi itakayao tembelewa na Mwenge iandaliwe mampema
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.