• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE YAFANA RUVUMA

Tarehe ya kuwekwa: March 9th, 2025


Ruvuma. Mkuu wa Wilaya ya Mbinga, Mhe. Kisare Matiku Makori amewaongoza mamia ya Wanawake mkoa wa Ruvuma kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambayo kimkoa yamefanyika katika uwanja wa Majimaji Songea mjini.


Akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, Mhe. Makori amesema maadhimisho hayo ni moja wapo ya mkakati wa Serikali kukuza usawa wa kijinsia na uelewa wa jamii kuhusu maswala mbalimbali ya wanawake.


Amewataka wanawake kutoa taarifa wanapokutana na matukio ya unyanyasaji au ukatili wa aina yoyote na akiitaka jamii kuendeleza ushirikiano wa kutoa elimu na kupinga ukatili.


Aidha, Mhe. Makori ametoa wito kwa wanawake wote wenye uwezo kujitokezea kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.


“Pia tujitokeze katika Uchaguzi wa mwaka huu kuchagua viongozi wanaowajali wanawake na kuliletea taifa maendeleo” alisema Mhe. Makori


Kwa upande mwingine,  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho amesema mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi wanawake wanazo fursa za kugombea muweze kuingia kwenye vyombo vya maamuzi.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAPOKEZI YA FEDHA March 20, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Karibu Mwenge wa Uhuru Halmashauri ya Mji wa Mbinga Tarehe 13 Mei 2025

    May 06, 2025
  • Huduma za Dawati la Msaada wa Kisheria Halmashauri ya Mji wa Mbinga

    May 05, 2025
  • JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WILAYA MBINGA YAOMBA HALMASHAURI YA MJI MBINGA KUBORESHA VIBANDA SOKO LA MISHENI

    April 28, 2025
  • TRA WILAYA YA MBINGA YAVUKA MALENGO MAKUSANYO MAPATO KWA MWAKA WA FEDHA JULAI 2024 HADI MACHI 2025

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.