• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MAADHIMSHO YA KICHAA CHA MBWA MKOA WA RUVUMA YAFANA

Tarehe ya kuwekwa: October 6th, 2023


Na  Erasto George


Mbinga. Maadhimisho ya siku ya kichaa cha mbwa duniani katika mkoa wa Ruvuma yalifanyika kimkoa Alhamis, Septemba 28, 2023 katika kijiji cha Mpepai, Wilaya ya Mbinga.    


Mgeni rasmi wa maadhimisho hayo yaliyoenda na kauli mbiu “Kichaa cha Mbwa Afya moja kwa pamoja” alikuwa Kaimu Afisa Tawala wa Wilaya ya Mbinga  Bw. Andrea Mhagama  kwa niaba ya mkuu wa Wilaya hiyo Bi. Aziza Mangosongo.


Bw. Mhagama alisema ugonjwa wa kichaa cha mbwa unawaathiri binadamu na wanyama, pia  hauna tiba lakini unakingwa kwa chanjo na  kuzingatia kanuni za ufugaji bora wa mbwa.


Kwa muktadha huo, aliongeza kuwa ni muhimu kuadhimisha siku hiyo kwa kutoa elimu kwa jamii kuhusu ugonjwa huo.


“Maafisa mifugo toeni elimu zaidi kuhusu ugonjwa huo wa kichaa cha mbwa na kutoa chanjo ili  kutokomeza ugonjwa huo,” alisisitiza Bw. Mhagama.


Aidha, aliwaagiza wananchi kuwatunza mbwa hao kama walivyoelekezwa ili kudhibiti ugonjwa huo kwa kuwa wasipofanya hivyo wataleta madhara kwa jamii.


"Ni jukumu letu sote kujilinda na kuelimisha jamii hasa watoto kujihadhari na kutoa taarifa kwenye ofisi za mtaa na za mifugo pale tunapowaona mbwa wanaotembea mitaani ili waweze kudhibitiwa," alisisitiza.


Mkuu wa idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bw.Enock Ndunguru, ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Bi. Amina Seif, alitoa wito kwa wamiliki wa mbwa kuhakikisha mbwa wao wanachanjwa.


Nae Afisa Mifugo na mratibu wa tiba na chanjo za mifugo Bw. Condrad Kawonga alieleza kwamba swala la kuchanja mbwa lipo kwa mujibu wa sheria ya mifugo ya mwaka 2003.


Bw. Kawonga aliongeza kuwa kinga ni bora kuliko tiba, hivyo kila mwananchi anayefuga mbwa azingatie chanjo ya kichaa cha mbwa kipindi chote cha uhai wake.


Alisema miongoni mwa dalili za mtu mwenye ugonjwa wa kichaa cha mbwa ni kupata homa kali, kuumwa kichwa na mwili, kuogopa maji ya kunywa au kuoga  na kubweka kama mbwa.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.