• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MAAMBUKIZI VVU MKOA WA RUVUMA YASHUKA KWA 2%

Tarehe ya kuwekwa: December 1st, 2022


Kauli hiyo imetolewa leo Disemba moja  na Mkuu wa Wilaya ya Mbinga,

Mhe Aziza Ally Mangosongo kwaniaba ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma katika maadhimisho ya siku ya mapambano ya Ukimwi Duniani, ambapo kimkoa maadhimisho hayo yamefanyika katika kijiji cha Luwaita  kata ya Luwaita Halmashauri ya Mji wa Mbinga.

kauli mbiu ya maadhimisho hayo kwa mwaka huu inasema “Imarisha Usawa” Mhe. Aziza amaesema kauli mbiu hii inatupa muongozo wa kutenda haki bila kujali jinsia, rangi, mahali mtu anapo toka au dini yake na kusistiza kuwajali wote wenye Vvu  na  Ukimwi na kutowatenga, sambamba na hayo amewataka watoahuduma kutoa huduma kwa ueledi kama kauli mbiu inavyo sema.

Hata hivyo  Mhe. Aziaza ametoa wito kwa wadau wote kuwa na mikakati ya upimaji wa hiyari na kuwaanzishia matibabu walewote watakao bainika kuwa na maambukizi ya Vvu. Mkoa wa Ruvuma unajielekeza kufanya tathmini ya hali ya maambikizi  na mikakati ya kuwahudumia watu walioathirikia na Ukimwi na kuwakumbuka waliotutoka  kutokana na ugonjwa huo.  

 Pamoja na kushuka kwa amaambukizi kimkoa,ambapo kwa sasa maambukizi yameshuka kutoka 7% 2012 hadi 5% 2016  bado, kiwango cha maambukizi kitaifa siokizuri kwa kufikia asilimia 4.7 vyo inatulazimu kuendelea kujikumbusha dhidi ya mikakati ya mapambano ya Vvu na kutoa wito kwa watakao bainika na vvu kutokimbia matumizi ya dawa mara baada ya kupata unafauu wa kiafya.   

Na Makangury      

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS,DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki