• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MADEREVA BODABODA KUSAIDIANA KATIKA SHIDA

Tarehe ya kuwekwa: October 6th, 2023



Na Erasto George , Elizabeth Newa & Rahma Mwaka


Mbinga. Umoja wa  madereva pikipiki wa Wilaya ya Mbinga umeadhimia kuweka utaratibu mzuri wa kuchangiana ili kusaidiana pale zinapowakumba changamoto mbalimbali katika kazi yao.


Madereva hao wamekubaliana kuchangia kiasi cha Shilingi 10,000 kwa kila kijiwe cha bodaboda kilichopo ndani ya Wilaya ya Mbinga.


Wilaya ya Mbinga ina jumla ya vijiwe 150 vya bodaboda, ambapo vijiwe 105 vipo Halmashauri ya Mji Mbinga na 45 Mbinga Vijijini.


Maadhimio hayo ya Umoja wa madereva pikipiki wenye wanachama wapatao 2,500, yalifikiwa wiki iliyopita (Septemba 26, 2023) katika mkutano uliofanyika ndani ya  Jumba la maendeleo lililopo katika Halmashauri ya Mji Mbinga.


Katika mkutano huo pia walikubaliana kila kijiwe kuchangia  Shilingi 5,000 kwa ajili ya kuiwezesha timu yao ya mpira wa miguu Bodaboda FC kushiriki ligi mbalimbali.


Hatua hii inafuatia hamasa waliyoipata baada ya kutwaa ubingwa wa Mangosongo Oparesheni Safisha Mji - Mbinga ing'ae, wiki chache zilizopita.


Mwenyekiti wa bodaboda  Wilaya ya Mbinga Bw. Kefasi Kamage alisema wamekutana kwa ajili ya kujadili mambo kadhaa ikiwemo maafa, michezo na elimu inayohusu usalama wao.


Bw. Kamage aliwasihi madereva kuweza kutekeleza maadhimio waliyokubalina katika mkutano huo na kudumisha umoja.


Mgeni rasmi katika mkutano huo alikuwa ni Kamanda wa upelelezi wa makosa ya jinai Wilaya ya Mbinga Afande Lugano Gwassa.


Afande Gwassa aliwasihi madereva kufuata kanuni na sheria za usalama barabarani ili kulinda usalama wao na wa abiria wanaowabeba.


Dereva pikipiki Hamis Said alisema kufanyika kwa mkutano kumemsaidia kujua zaidi sheria na kuchukua tahadhari katika kazi yake.


Hii ni baada ya kamanda wa polisi kuwaelekeza na kuwaonya kuhusu makosa ya uvunjaji wa sheria za barabarani.


Nae mwenyekiti wa bodaboda mtaa wa Mission, kata ya Mbinga Mjini B, Bw. Peter Turuka alisema katika kikao hicho ameguswa na mada ya kusaidiana katika maafa.


 “Kusaidiana kutatusaidia kudumisha umoja katika shida  tunazopata ikiwemo kuumia na kifo,” alihitimisha Bw. Turuka.

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS,DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki