• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

Mahindi sasa kuuzwa ndani na nje ya Nchi

Tarehe ya kuwekwa: May 16th, 2018

Serikali imefuta katazo la awali lililokuwa likizuia zao la Mahindi kuuzwa nje ya Nchi. Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri mwenye dhamana katika kikao cha Bunge la bajeti  kinachoendelea Mjini Dodoma. Serikali imesema sasa hivi Mkulima anaweza kuuza Mazao yake popote pale nje ya Nchi baada ya kujiridhisha kuwepo kwa akiba ya kutosha ya chakula.

Awali wakichangia bajeti ya Kilimo Wabunge wengi walikuwa na shinikizo kwa Serikali iangalie namna ya kuwakomboa wakulima wa Mazao ya Mahindi kutokana na kuwa wamezalisha Tani nyingi kwa mwaka 2017/2018 na hakuna soko ndani ya Tanzania kwani bei ya mazao hayo imeporomoka sana ukilinganisha na gharama walizotumia katika uzalishaji na uwezo wa Serikali kunua mazao hayo kwa bei nzuri haukuwepo.

Mhe. Mbunge wa Jimbo la Mbinga Mjini Ndg. Sixtus Mapunda alianza kwa kusema Sekta ya kilimo ndio Sekta inayowaajiri Watanzania wengi zaidi ya asilimia 75 kuliko sekta zingine, pia ndio Sekta pekee inayohakikisha chakula  kinapatikana Nchini kwa asilimia 100. Pamoja na hayo yote  Wakulima katika sekta hii wamefikishwa sehemu wamekata tamaa kabisa hasa katika eneo la uzalishaji na bei ya mazao hayo. Kutokana na Hotuba ya Waziri kuonyesha uzalishaji wa Mahindi unakadiriwa kuwa tani Milioni nane (8) kwa mwaka 2018/2019 ikilinganishwa na mwaka 2017/2018 ilikuwa tani Milioni sita (6) hivyo kuwa na tofauti ya ongezeko la tani Milioni mbili (2) Mhe. Sixtus Mapunda aliiomba Serikali kutoa mchanganuo kuhusu mahindi kiasi gani yatatosha kwaajili ya chakula na yatakayozidi kutakuwa na mpango gani kwa soko la nje.

“...lakini sisi kule kwetu nenda ukaanzie Rukwa, Katavi, Iringa, Mbeya, Njombe na Ruvuma wote sisi katika ujumla wetu hatulimi mahindi tuu kama chakula, tunalima vilevile Mpunga unakubali, Viazi vinakubali, Ndizi zinakubali, Mihogo…lazima sehemu hii ya chakula iliyozidi Waziri uje na Mchanganuo…” Mhe. Sixtus Mapunda alisisitiza

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.