• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MAKISIO YA MAPATO MJI MBINGA YAONGEZEKA KWA ASILIMIA 32

Tarehe ya kuwekwa: July 17th, 2024


Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari----Mji Mbinga


Mbinga.  Halmashauri ya Mji wa Mbinga imeongeza kwa asilimia 32 makisio ya mapato yake ya ndani kwa mwaka wa fedha 2024/25 ikilinganishwa na mwaka uliopita.


Kaimu Mkurugenzi wa Mji wa Mbinga Dkt. Kung’e Nyamuryekung’e alisema Jumatano (Julai 17) kuwa Halmashauri ya Mji wa Mbinga inatarajia kukusanya Sh3.3 bilioni mwaka huu wa fedha ikilinganishwa na Sh2.5 bilioni ya mwaka uliopita.


“Ongezeko la asilimia 32 limechagizwa na kuongezeka kwa wigo wa mapato. Tuna vyanzo vipya vya mapato ambavyo ni ushuru wa mabango, kodi ya majengo na pango la ardhi,” alisema Dkt. Nyamuryekung’e.


Alisema kati ya Sh3.3 bilioni inayotarajiwa kukusanywa mwaka huu wa fedha, mapato ya ndani yasiyolindwa ni Sh2.5 bilioni na mapato ya ndani lindwa ni Sh0.8 bilioni.


Makisio ya mwaka huu yanamaanisha kuwa ili Halmashauri iweze kufikia lengo la mwaka mzima, inapaswa kukusanya wastani wa Sh275 milioni kwa mwezi.


“Tutafanya kila liwezekanalo kuhakikisha tunafanya vizuri linapokuja suala la makusanyo ya mapato,” alisisitiza Dkt. Nyamuryekung’e.


Alisema miongoni mwa mikakati ambayo Halmashauri imejiwekea kuhakikisha inakusanya mapato ipasavyo ni kutoa elimu ya mlipa kodi ili wananchi waone umuhimu wa kulipa kodi kwa hiari.


Mikakati mingine ni kutoa motisha kwa timu ya wakusanya mapato na ushuru ili kuongeza morali yao, na kufanya mapitio ya kodi zilizopitwa na wakati ili ziendane na mazingira ya biashara ya sasa.


“Kama Mhe. Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyoelekeza, tumedhamiria kuwa na mfumo mzuri wa kodi ili kuchochea biashara na uwekezaji na hivyo kupelekea makusanyo ya mapato mengi zaidi,” alisema Dkt. Nyamuryekung’e.


 Mwaka wa fedha uliopita, Mji Mbinga ilifikia kwa asilimia 100 lengo la kukusanya Sh2.5 bilioni kama mapato yake ya ndani, shukrani kwa timu imara ya mapato na utayari wa wananchi kulipa kodi.


Vyanzo vyenye mchango mkubwa kwenye mapato ya ndani yasiyolindwa ni ushuru wa mahindi, ushuru wa kahawa, leseni za biashara, kodi ya pango,ushuru wa huduma, mauzo ya viwanja, ushuru wa maharage na ushuru wa maegesho ya magari.

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS,DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki