• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MAPATO YA NDANI MBINGA MJI YAFIKIA ASILIMIA 77

Tarehe ya kuwekwa: June 3rd, 2024



Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari---Mbinga Mji


Mbinga. Katika kipindi cha miezi tisa ya mwanzo ya mwaka wa fedha 2023/24, makusanyo ya mapato ya ndani ya Halmashauri ya Mji wa Mbinga yalifikia asilimia 77 ya lengo la mwaka mzima.


Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Bi. Amina Seif alisema mwishoni mwa wiki jana kuwa hadi kufikia tarehe 31/3/2024 tayari walikuwa wamekusanya shilingi bilioni 1.908 ikilinganishwa na lengo la mwaka mzima la shilingi bilioni 2.476.


Hii inamaanisha kuwa Halmashauri hiyo ilikuwa inakusanya wastani wa shilingi milioni 212 kwa mwezi ikilinganishwa na wastani wa shilingi milioni 206.3, kiasi ambacho ilitakiwa kukusanya ili kufikia lengo la mwaka mzima.


Tafsiri ya takwimu hizi ni kuwa Halmashauri ya Mji wa Mbinga haina mlima wa kupanda kukusanya kiasi cha shilingi milioni 568 kilichobakia kufikia lengo la mwaka mzima.


Kwanini haina mlima wa kupanda? Jibu ni kwasababu inapaswa kukusanya wastani wa shilingi milioni 189.3 kwa kila mwezi (Aprili-Juni), kiasi ambacho ni kidogo ikilinganishwa na kile cha miezi tisa ya mwanzo.


Miezi tisa ya mwanzo Halmashauri hiyo ilikuwa  inakusanya shilingi milioni 5.7 zaidi ikilinganishwa na shilingi milioni 206.3 iliyopaswa kukusanya kwa mwezi ili kufikia lengo la mwaka mzima.


“Tunakwenda vizuri. Naamini tutafikia lengo la makusanyo ya mwaka huu wa fedha wa 2023/24,” alisema Bi. Amina wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani robo ya tatu (Januari-Machi, 2024).


Akiongea wakati wa kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Oddo Mwisho uliopo katika Halmashauri hiyo, Bi. Amina aliongeza: “Naamini jitihada zetu katika ukusanyaji wa mapato zitazaa matunda.”


Kwa Halmashauri ya Mji wa Mbinga, vyanzo vyenye mchango mkubwa kwenye mapato ya ndani halisi ni ushuru wa mahindi, ushuru wa kahawa, leseni za biashara, kodi ya pango,ushuru wa huduma, mauzo ya viwanja na ushuru wa maharage.

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS,DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki