• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MBINGA MJI KUMI BORA MASHINDANO YA USAFI

Tarehe ya kuwekwa: May 20th, 2024



Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari----Mbinga Mji


Mbinga. Wakazi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga, mkoani Ruvuma wana kila sababu ya kutabasamu kufuatia Halmashauri yao kuwepo kwenye 10 bora ya mashindano ya Afya na Usafi wa Mazingira kwa ngazi ya miji.


Kwa mujibu wa mashindano hayo yanayoratibiwa na Wizara ya Afya, Halmashauri ya Mji wa Mbinga kwa mwaka 2023 ilishika nafasi ya tisa kati ya Halmashauri za miji 21 zilizoshindanishwa.


Katika nafasi hiyo, Mbinga Mji ilifungana na Halmashauri za miji ya Mbulu, Mkoa wa Manyara na Nanyamba, mkoa wa Mtwara baada ya kupata asilimia 62 ya alama zote.


Tafsiri yake ni kuwa Halmashauri ya Mji wa Mbinga ilizizidi kete Halmashauri za miji 10 na kuzidiwa na Halmashauri za miji nane.


Pamoja na asilimia zilizopata kwenye mabano, Halmashauri zilizozidiwa na ile ya Mbinga Mji ni Kasulu (56), Geita (56), Newala (56), Handeni (52), Ifakara (52), Tarime (46), Korogwe (46), Bunda (45), Bariadi (44) na Kondoa (30).



 Kwa upande mwingine, Halmshauri hiyo ilizidiwa na Halmashauri za miji ya, pamoja na asilimia zao kwenye mabano, Njombe (89), Babati (73), Makambako (72), Nzega (71), Kibaha (70), Masasi (67), Mafinga (66) na Tunduma (64).


 Akizungumza ofisini kwake siku ya Jumatatu, Mei 20, 2024 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bi. Amina Seif aliwamwagia sifa wakazi wa Mbinga Mji pamoja na wadau wengine kwa jitihada zao za kulivaa jukumu la usafi wa mazingira yao.


 “Tuko hapa kwasababu ya jitihada ya kila mmoja wetu. Tuendelee kufanya usafi bila kuchoka ili mwaka huu tufanye vizuri zaidi,” alisema Bi. Amina.


Afisa Afya wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bw. Felix Matembo alisema mafanikio waliyoyapata ni chachu kwa Mbinga Mji kufanya vizuri zaidi katika mashindano ya mwaka 2024.


Alisema ni shauku yake kuona Halmashauri ya Mji wa Mbinga inatinga katika tatu bora kwenye mashindano ya mwaka huu.


“Nitahakikisha naratibu wakazi wa Mbinga Mji pamoja na wadau wengine ili tushike nafasi tatu za juu katika mashindano ya mwaka huu wa 2024,” alisema Bw. Matembo.

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS,DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki