• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MBINGA MJI : MIRADI YA MADARASA UVIKO -19 YAKABIDHIWA KWA MKUU WA WILAYA

Tarehe ya kuwekwa: December 23rd, 2021



Mkurugenzi Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bi: Grace Quintine amekabidhi miradi ya ujenzi wa Madarasa 39 ya Mpango wa Taifa ya Ustawi wa jamii mapambano dhidi ya Uviko 19 kwa Mkuu wa Wilaya Mhe; Aziza Ally Mangosongo Disemba 23 /2021

Bi: Quintine amesema pamoja na kukamilika kwa asilimia 99% kwa miradi hiyo, zipo changamoto zilizoweza kujitokeza wakati wa utekelezaji wa miradi hiyo ikiwemo kupanda kwa bei za vifaa vya viwandani kutoka kwa wazabuni hususani nondo na bati , kupungua kwa baadhi ya bidhaa kwa wazabuni kwakua wazabuni hao walikua wakihudumia zaidi ya halmashuri mbili .

Atahiyo Mkurugenzi huyo ametoashukrani kwa kwa serikali iliyoko madarakani inayo ongozwa na Mhe: Rais Samia Suruhu Hassani kwa kuendelea kuboresha sekta ya elimu, hususani maeneo ya kufundishia . Sambamba na hayo ameshukuru ngazi ya Mkoa , Wilaya na Mbunge kwa maelekezo katika ufuatiliaji na utekelezaji wa miradi hiyo mpaka hatua ya kumkabidhi Mkuu wa Wilaya tayari kwa makabidhiano na Mkuu wa Mkoa.

Kwa upandi wake Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe: Aziza Ally Mangosongo amesema katika utekelezaji wa miradi hii imetujengea uwezo wa kuitekeleza miradi kama hii hivyo kuwataka waalimu kuwasimamia wanafunzi ili waitunze miundombinu ya madarasa pamoja na madawati kwa ujumla, ikiwezekana kila mwanafunzi aandikwe kwa jina katika madawati hayo. Amesema ameyapokea madarasa hayo na kwamba yuko tayari kuyakabidhi kwa Mkuu wa Mkoa

Na Makangur































Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.