• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

‎MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA UTOAJI HUDUMA ZA AFYA

Tarehe ya kuwekwa: August 1st, 2025


‎
‎Mbinga.  Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga, Dkt. Kung'e  Nyamuryekung’e, ameongoza kikao kazi cha waganga wafawidhi na waganga viongozi wa Halmashauri hiyo.
‎
‎Akisoma hotuba kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bi. Amina Seif, amewapongeza kwa kazi nzuri wanayoifanya katika vituo vyao vya kazi katika kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora.
‎
‎Amebainisha kuwa kikao hicho ni mahususi kwaajili ya kujadili hali ya utoaji wa huduma za afya katika vituo hivyo, kubadilishana uzoefu na kuweka mikakati  madhubuti kuboresha huduma kwa wananchi.
‎
‎“Jukumu lenu kubwa ni kuhakikisha maagizo, miongozo na sera kutoka ngazi ya Taifa, Mkoa na Halmashauri zinatekelezwa kikamilifu," alisema Dkt. Kung'e.
‎
‎Ameongeza kuwa kwa maeneo ambayo vituo havifanyi vizuri  hatarajii kuona hali hiyo ikiendelea, hivyo ni lazima waweke mikakati  madhubuti ya kuboresha huduma, kuongeza uwajibikaji kwa kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa majukumu ya kila siku.
‎
‎Pia, Dkt. Kung'e  amevipongeza vituo vya huduma za afya vinavyofanya vizuri kwa juhudi zao na uwajibikaji, lakini mafanikio hayo yasiwafanye kulegea, akiwataka kuendelea kusimamia  weledi, uadilifu na ufuatiliaji wa karibu wa vituo vyao ili kuwa mfano wa kuigwa.
‎
‎Ametoa maagizo kwa timu ya usimamizi wa huduma za afya na Waganga wa Vituo, na kumtaka kila mratibu ahakikishe anasimamia ipasavyo shughuli zote zilizopo chini ya programu yake, matumizi ya GotHomis kwenye vituo vya afya, kukusanya mapato kwa uadilifu na  kufanya kazi kwa waledi.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • ‎MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA UTOAJI HUDUMA ZA AFYA

    August 01, 2025
  • Kamati Za MTAKUWWA ngazi za Kata/Mitaa zaendelea kunolewa.

    July 31, 2025
  • Karibu Ruvuma

    July 29, 2025
  • ‎MBINGA MJI YAHITIMISHA ZIARA YA UTAMBULISHO WA MIRADI YA MAENDELEO

    July 24, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki