• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

‎MBINGA MJI YAHITIMISHA ZIARA YA UTAMBULISHO WA MIRADI YA MAENDELEO

Tarehe ya kuwekwa: July 24th, 2025


‎Mbinga. Halmashauri ya Mji wa Mbinga imehitimisha ziara ya siku tatu ya utambulisho wa miradi ya maendeleo kwa wananchi.

‎

‎Katika siku ya mwisho ya ziara hiyo, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga, Dkt. Kung’e Nyamuryekung’e,  akiambatana na viongozi wengine wametembelea miradi ikiwemo umaliziaji wa maboma ya vyumba viwili vya madarasa katika Shule ya Msingi Tugutu, ambao utagharimu shilingi milioni 25.

‎

‎Vilevile, ujenzi wa madarasa manne na matundu sita ya vyoo katika Shule ya Msingi Lusonga, mradi wenye thamani ya shilingi milioni 107.2, miradi mingine ni pamoja na ujenzi wa madarasa mawili na matundu sita ya vyoo katika Shule ya Msingi Nyerere kwa gharama ya shilingi milioni 49, na ukarabati wa madarasa katika Shule ya Msingi Mbinga unaokadiriwa kugharimu shilingi milioni 132.8.

‎

‎Akizungumza na wananchi wa maeneo husika, Dkt. Kung’e amewataka kujitokeza kwa wingi kushiriki katika utekelezaji wa miradi hiyo kwa pamoja ili kuhakikisha inakamilika kwa wakati.

‎

‎Amesisitiza kuwa ushiriki wa jamii ni msingi muhimu wa kufanikisha maendeleo endelevu na kuboresha huduma za kijamii, hususan sekta ya elimu.

‎

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • ‎MBINGA MJI YAHITIMISHA ZIARA YA UTAMBULISHO WA MIRADI YA MAENDELEO

    July 24, 2025
  • MKURUGENZI MBINGA MJI AENDELEA NA ZIARA KUTAMBULISHA MIRADI

    July 23, 2025
  • ‎MKURUGENZI MBINGA MJI AFANYA ZIARA YA UTAMBULISHO WA MIRADI ‎

    July 22, 2025
  • MKURUGENZI MBINGA MJI ATEMBELEA MAANDALIZI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA MWAKA WA FEDHA 2025/26

    July 16, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki