• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MDAKA: VIJANA ENZINI MUUNGANO

Tarehe ya kuwekwa: April 26th, 2024



Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari---Mbinga Mji


Mbinga. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbinga Bw. Joseph Mdaka ametoa rai kwa vijana kuuenzi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kuepuka kusikiliza taarifa za upotoshaji.


Akitoa rai hiyo wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo Aprili 26, 2024, Bw. Mdaka aliwataka vijana waepuke taarifa hizo za upotoshaji kutoka kwa watu au vikundi vya watu.


“Ni vema vijana wakaisoma vizuri historia ya nchi yao na hasa kuhusu Muungano ili wafahamu chimbuko la mafanikio ya tunu hii muhimu katika Taifa letu,” alisema katika sherehe zilizofanyika katika ukumbi wa shule ya sekondari Makita iliyopo katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga.


Aliwataka waliokuwepo wakati wa Muungano waendelee kuwarithisha vijana tunu zote zinazopatikana katika Muungano ambao umekuwa ukiimarika siku hadi siku.


“Ni wajibu wetu kuwarithisha vijana wetu tunu hii muhimu ili tutaendelea kushikamana zaidi na zaidi,” alisema Bw. Mdaka.



Aliongeza: “Muungano wetu ni kielelezo tosha cha mshikamano na umoja madhubuti ulio baina ya pande mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.”


Aidha, aliendelea kusema, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni kielelezo cha upendo, amani, utulivu na undugu ndani na nje ya bara la Afrika.


Kuendelea kuwepo kwa Muungano huu ni jitihada za viongozi wa pande mbili na wananchi wake katika kuhakikisha unadumishwa.


Hili, alifafanua, limewezekana kwa kuzipatia ufumbuzi kero zote zinazoonesha kutaka kudhoofisha umoja  huu wa kihistoria duniani, alisema Bw. Mdaka.


Alisema kutokana na Muungano huu, wananchi wa pande zote mbili wamefaidika katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kisiasa, kijamii na hata kiutamaduni.


Kila Aprili 26 ya kila mwaka watanzania wanaadhimisha siku ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa na Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na  Hayati Sheikh Abeid Amani Karume.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.