• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MHE MAKORI: LAZIMA TUTATUE KERO ZA WANANCHI

Tarehe ya kuwekwa: July 31st, 2024


Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari----Mji Mbinga

 

Mbinga. Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Kisare Matiku Makori Jumatano (Julai 31) aliwataka viongozi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga kujikita katika kusikiliza na kutatua kero za wananchi.


Alitoa wito huo alipokuwa akiongea na wananchi wa kata ya Matarawe mara baada ya kutembelea shule ya Sekondari Dkt. Philip Mpango na Shule ya Msingi Matengo zilizopo katika kata hiyo.

 

“Lazima tujikite katika kushughulikia changamoto na kero mbalimbali za wananchi na kuhakikisha hakuna mwananchi anaonewa,” alisema Mhe. Makori.


Aliwataka wananchi wakiwa na changamoto wasisite kupaza sauti kwa kuwashirikisha viongozi wa Halmashauri katika maeneo yao na kwamba wasiporidhika wanaruhusiwa kwenda ngazi za juu.


“Uzuri serikali yetu ina muundo mzuri kuanzia ngazi ya chini---mtaa, kitongoji, kata, Halmashauri, Wilaya, Mkoa na kuendelea,” alisema Mhe. Makori.

 

“Ukiona kiongozi wa ngazi moja hana msaada, nenda ngazi ya juu.”


“Tusikae tunanung’unika, kama kuna jambo haliko sawa, ni vema tukafahamishana kwasababu hayo ndio matamanio ya Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.”


Mara nyingi Mhe. Rais amekuwa akiwasisitizia wasaidizi wake kuhusu haja ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi na kwamba kwa ambaye hawezi akae pembeni kupisha wanao weza.


Mhe. Rais amenukuliwa mara kadhaa katika hotuba zake akisema katika uongozi wake hatapenda kuongoza serikali inayonyanyasa au kuonea wananchi.


Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mhe. Kelvin Mapunda alisema wako tayari kuhakikisha wana wasikiliza wananchi na kutatua changamoto wanazokumbana nazo.


“Nitashirikiana na wataalamu wa Halmashauri kuhakikisha wananchi wanapewa huduma bora na wanafurahia serikali yao,” alisema huku akiahidi kutomuangusha Mhe. Rais katika hilo.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MBINGA MJI APATIWA TUZO

    June 20, 2025
  • MKUTANO WA JUKWAA LA MWAKA LA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WILAYA YA MBINGA

    June 20, 2025
  • ‎MBINGA MJI YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 19, 2025
  • ‎JAMII YAHIMIZWA KULINDA HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.