• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MHE MAKORI: TUZINGATIE VIGEZO VYA MBIO ZA MWENGE WA UHURU

Tarehe ya kuwekwa: April 4th, 2024



Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari----Mbinga Mji


Mbinga. Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Kisare Matiku Makori amewataka wataalamu wa Wilaya ya Mbinga kuzingatia vigezo vya  mbio za Mwenge wa Uhuru  2024 na vipengele vyake ili kuibuka kinara.



Ofisi ya Waziri mkuu imeandaa vigezo 10 vitakavyozingatiwa na vimeandaliwa kwa kuzingatia ujumbe wa mbio za Mwenge wa Uhuru na mahitaji ya serikali katika kipindi hiki.


Vigezo hivyo vyenye jumla ya maksi 100 ni pamoja na ufanisi wa usimamiaji wa miradi ya maendeleo (maksi 32), ufanisi katika mapokezi ya Mwenge (maksi 6), uzingatiaji wa itifaki za mwenge (maksi 8) na umahiri katika uandishi, usomaji na uwasilishaji wa risala ya utii kwa Mheshimiwa Rais (maksi 8).


Vigezo vingine ni uraghibishaji wa falsafa ya mwenge kwa mwananchi (maksi 4), uwezeshaji wa vijana (maksi 20), uwezeshaji wa makundi yenye mahitaji maalumu na ukatili wa kijinsia (maksi 4) na juhudi zinazochukuliwa katika mapambano dhidi ya VVU/Ukimwi, dawa za kulevya na Malaria (maksi 3).



Orodha ya vigezo pia inahusisha mapambano dhidi ya rushwa na changamoto za lishe duni (maksi 5) na ushiriki katika uhifadhi wa mazingira na uchaguzi wa serikali za mitaa (maksi 10).



“Wakati wa maandalizi ya kupokea Mwenge wa Uhuru tunapaswa kuzingatia vigezo vyote ili tuibuke vinara katika mbio za Mwenge huo. Hatuna sababu ya kushindwa,” alisema Mhe. Mkuu wa wilaya wakati wa kikao cha kamati ya sherehe ya wilaya kilichofanyika Aprili 4, 2024 katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga.


Mkoa wa Ruvuma unatarajia kupokea Mwenge wa Uhuru Juni 8, 2024 ambapo utakimbizwa hadi Juni 15 ya mwaka huu.



Afisa Utamaduni wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bi. Fausta Sabiyanka alisema kwa mwaka huu Mwenge wa Uhuru utakimbizwa katika mikoa 31 na Halmashauri za Wilaya  195 kwa siku 195.



Mbio hizo zilizinduliwa rasmi mkoani Kilimanjaro April 2, 2024 na kilele chake kitakuwa Oktoba 14 mwaka huu mkoani Mwanza.



Kwa mwaka huu, ujumbe wa mbio za Mwenge wa Uhuru utahusu uchaguzi wa serikali za mitaa na uhifadhi wa mazingira chini ya kauli mbiu; "Tunza mazingira na shiriki uchaguzi wa serikali za mitaa kwa ujenzi wa Taifa endelevu."

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.