• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MIKOPO KWA VIKUNDI PEMBEZONI MWA MJI WAPEWA KIPAUMBELE HALMASHAURI MBINGA MJI

Tarehe ya kuwekwa: May 25th, 2021

Baraza la madiwani Robo ya tatu Utekelezwaji wa miradi ya maendeleo Kamati ya fedha yatoa kipaumbele kwa vikundi ya uzalishaji mali pembezoni mwa Mji wa Mbinga kupewa Mikopo.

Akijibu changamoto katika utolewaji wa mikopo  kwa vindi , mwenyekiti wakamati hiyo  ambae pia ni mwenyekiti wa baraza  Ndg Kelvin Mapunda amesemakuwa kumekuwa na ongezeko kubwa la vikundi, hivyo  kuwaomba Madiwani hao kushauri kuunganisha baadhi ya vikundi ambavyo vina lengo na vinavyo fanya shughuri zinazo fanana,ili kurahisisha kupata mkopo kwa wakati.

Ameongeza kuwa lazima vikundi vikidhi masharti yakiwemo kuhakikiwa na wataalamu kulingana shughuli husika inavyofanywa na wanakikundi, akitolea mfano wakilimo, basi afisa kilimo atafika katika kuhakiki shughuli au mradi huo na kutoa taarifa kwa afisa maendeleo ya jamii kuendelea na taratibu za  kupata mkopo huo. 

Akizungumza mara baada ya kikao kwa  upande wake Afisa maendeleo ya jamii Bi Cecilia Mbata amewakata wanavikundi kufuata utaratibu na kutimiza masharti ili kupata mkopo kwa wakati. Akitolea mfano wa baaadhi ya vikundi kuomba mkopo wa kilimo hususani mahindi wakati msimu umepita inaleta changamoto hivyo kusisitiza  wanavikundi kuomba mikopo kulingana na msimu kwa wale wanaojihusisha na kilimo

Kwa upande mwingine Bi Cecilia amewaomba vikundi vya  kukopeshana kwa riba  na hisa amabavyo hawajakamilisha usajili wa kielektroniki, kujisajili muda umeisha hivyo mfumo utafungwa ifikapo tarehe 30/Mei amesema marabaada ya kujisajili kikundi kitawasilisha kopi ya katiba na viambata vingine katika ofisi za TEHAMA kwa ajili ya huakiki ili kupata cheti

Na Makangury      

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS,DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki