• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MILIONI 59 KUWANUFAISHA WANANCHI WA VIJIJI NA MITAA 18 KUPITIA MIRADI YA MAENDELEO

Tarehe ya kuwekwa: April 3rd, 2024


Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari----Mbinga Mji


Mbinga.  Ofisi ya Mbunge wa jimbo la Mbinga Mjini, mkoani Ruvuma imetoa kiasi cha shilingi milioni 58.78 kutoka Mfuko wa Jimbo kwaajili ya kuchochea utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika vijiji na mitaa 18.


Zoezi hilo la ugawaji wa pesa hiyo iliyotolewa katika mfumo wa taslimu na vifaa vya ujenzi, liliendeshwa AprilI 3, 2024 na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mhe. Kelvin Mapunda kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo la Mbinga Mjini Mhe. Jonas Mbunda.


Kati ya Shilingi milioni 58.78, kiasi cha shilingi milioni 35.72 ni fedha taslimu na shilingi milioni 23.06 ziko katika mfumo wa vifaa ambavyo ni mabati 545 na misumari, pamoja na kuchangia kulipa mafundi.


 “Tayari Halmashauri imehamisha shilingi milioni 35.72 kwenda katika akaunti za kata na vijiji kwaajili ya utekelezaji wa miradi kama ilivyoridhiwa na kikao cha kamati ya Mfuko wa Jimbo kilichofanyika Januari 11, 2024,” alisema Mh. Mapunda katika hafla iliyofanyika katika ofisi za Halmashauri ya Mji wa Mbinga.


Akielezea kuhusu shilingi milioni 23.06 alisema fedha hiyo ni kwaajili ya kuchangia uezekaji wa shule ya msingi Kitunda, zahanati ya Miembeni, zahanati ya Mlowoka, nyumba ya mganga wa zahanati ya Masimeri, ununuzi wa misumari na kuchangia kulipa mafundi.


Akizungumza baada ya makabidhiano, diwani wa kata ya Kitanda Mhe. Aureus Ngonyani alimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mhe. Mbunda kwa kuwajali wananchi.


“Tutazidi kumpa ushirikiano Mhe. Rais na Mhe. Mbunge kwakuwa wanaonesha nia ya dhati ya kufanya kazi na sisi,” alisema Mhe. Ngonyani kwa niaba ya madiwani wengine ambao kata zao zimenufaika na fedha hizo za Mfuko wa Jimbo.

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS,DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki