• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MITI 110 YAPANDWA KILELE CHA SHEREHE ZA MUUNGANO

Tarehe ya kuwekwa: May 3rd, 2024


Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari----Mbinga Mji


Mbinga. Maadhimisho ya sherehe za miaka 60 ya Muungano katika wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma yalitamatishwa kwa kupanda miti 110 katika shule ya Sekondari Makita iliyopo katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga.  


Zoezi la upandaji miti lilofanyika April 26, liliongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbinga Bw. Joseph Mdaka.


Walioungana na Bw. Mdaka katika zoezi hilo ni katibu tawala wa Wilaya ya Mbinga Bi. Pendo Daniel, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mhe. Kelvin Mapunda pamoja na Makamu wake Mhe. Alex Andoya.


Wengine ni Diwani wa kata ya Masumuni Mhe. Laurent Vitus Gomano, Wakuu wa Idara na Vitengo katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga na Afisa Mtendaji wa kata ya Masumuni Bi. Doris Mbele.  


Kaimu Mkuu wa kitengo cha Maliasili na Mazingira katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bi. Gema Mmanda aliahidi kuhakikisha miti iliyopandwa inatunzwa na kukua vizuri.


“Kama kiongozi ninayehusika na mazingira katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga, nitashirikiana na walimu kuhakikisha miti iliyopandwa leo (April 26) inafuatiliwa kwa ukaribu na kutunzwa vizuri,” alisema Bi. Gema.


Afisa Misitu wa Mji wa Mbinga Bw. Sota January Ndunguru alisema waliamua kupanda miti katika shule ya Makita ili kuwafanya wanafunzi wajue umuhimu wa kupanda miti na thamani yake.


“Upandaji wa miti shuleni unatengeneza mazingira ya wanafunzi kupata hewa safi na hivyo kuwafanya wafurahie maisha ya shuleni,” alisema Bw. Ndunguru.


Alisema miti iliyopandwa ni aina ya Leucaena ambayo ina sifa ya kufyonza hewa ya kaboni na hivyo kutengeneza mazingira ya hewa safi ya oksijeni












Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.