• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MJI MBINGA YAKUSANYA MAPATO KWA ASILIMIA 100

Tarehe ya kuwekwa: July 15th, 2024



Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari----Mji Mbinga


Mbinga. Halmashauri ya Mji wa Mbinga imefikia kwa asilimia 100 lengo la makusanyo ya mapato yake ya ndani kwa mwaka wa fedha 2023/24.  


Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Dkt. Kung’e Nyamuryekung’e Jumatatu (Julai 15) alisema kuwa katika kipindi hicho Halmashauri ilifikia lengo la kukusanya Sh2.5 bilioni.


“Tumefikia lengo la kukusanya Sh2.5 bilioni na hii imechagizwa na kuongezeka kwa ufanisi wa timu ya kukusanya mapato pamoja na utayari wa wananchi kulipa kodi bila shuruti,” alisema Dkt. Nyamuryekung’e.


Alielezea kuwa kati ya Sh2.5 bilioni, Sh1.8 bilioni ni mapato ya ndani yasiyolindwa na Sh0.7 bilioni ni mapato ya ndani lindwa.



Vyanzo vyenye mchango mkubwa kwenye mapato ya ndani yasiyolindwa ni ushuru wa mahindi, ushuru wa kahawa, leseni za biashara, kodi ya pango,ushuru wa huduma, mauzo ya viwanja na ushuru wa maharage.


Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Kisare Matiku Makori Jumatatu (July 15) aliupongezi uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga kwa kufikia lengo la kukusanya Sh2.5 bilioni.


“Mmefanya kazi nzuri sana. Nawasihi mwaka huu wa fedha  (2024/25) muongeze kasi zaidi ili ikiwezekana tuvuke lengo,” alisema Mhe. Makori.


Kwa mwaka huu wa fedha, Halmashauri inatarajia kukusanya Sh3.3 bilioni.


Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mhe. Kelvin Mapunda aliahidi kushirikiana na timu ya wataalamu wa Mji Mbinga kuhakikisha wanapanua wigo wa mapato.


“Tutahakikisha tuna buni vyanzo vipya vya mapato ili kuongeza makusanyo yetu,” alisema Mhe. Mapunda.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.