• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MKURUGENZI WA MJI WA MBINGA AWASHAURI VIKUNDI KUBUNI NA KUANZISHA BIASHARA ZA UHAKIKA ILI KUWAWEZESHA KUREJESHA MIKOPO KWA WAKATI

Tarehe ya kuwekwa: July 2nd, 2021

Akifungua semina kwa wanavikundi hao Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bi Grace Quintine amewataka wana vikundi kuhakikisha kwamba waanzishe na kubuni miradi au  biashara za huakika na kutenda fedha ya marejesho itwasaidi kujenga uaminifu na kuendelea kupata mikopo katika Halmashauri yao. Bi Quintine ameongeza kuwa kumekua na dhana tofauti juu ya utolewaji wa mikopo kwa makundi hayo, akasisitiza kuwa mikopo hiyo hutegemea makusanyo ya mapato ya ndani, hivyo vikundi vinapaswa kuwa  wavumilivu.

Atahivyo mpaka sasa mikopo iliotolewa ni asilimia mia ya takwa la Serikali kutenga asilimia kumi ya makusanyo ya mapato ya ndani  na kutolewa mikopo kwa makundi ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu .  Aidha ameshauri kutolewa elimu kwa  kundi la vijana ili wajitokeze kupata mikopo, ambayo itawasaidia kwa namna moja au nyingine kuwainua kiuchumi  

 Semina hiyo iliyo udhuliwa wataalamu kutoka idara ya kilimo, Mifugo, Biashara, Mwanasheria  na wawakilishi kutoka Banki ya NMB tawi la Mbinga  ili kuwajengea uwezo kulingana na shughuli wanazozifanya. Umakini katika  matumizi ya fedha, elimu juu upatikanaji wa  masoko kulingana na shughuli au biashara wanazo zifanya . Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Ndg Kelvin Mapunda amesema  Serikali imeziagiza Halmashauri kukusanya fedha na kutenga asilimia kumi kwa ajili ya mikopo ya makundi ya vijana walemavu na wakina mama hivyo akasisitiza wanavikundi kuwasikiliza  waataalamu ili kuapata ujuzi na kufanya vizuri katika mikopo hiyo.

  Katika mafunzo hayo vikundi ambavyo vinavyo husika na kilimo, ufugaji  lazima kupitia Ofisi  za kilimo za kata au kijiji ili kudhibitishwa na pia itawasaidia kupata nafasi ya ushauri wa kitaalamu kuhusu aina za mbengu bora, ainagani ya mazao, ufugaji wa kisasa hususani ufugaji samaki, utengenezaji wa vyakula vya mifugo  kikundi kinahitaji kulima, ili kuongeza uzalishaji kupata fedha na kurejesha mikopo kwa wakati. Kufanya biashara bila kuwa vitabulisho nikosa kisheria hivyo vitambulisho vipya vya ujalisiliamali vinapatikana kwa watendaji kaka na watendaji wa vijiji au unaweza kufika ofisini kwa Afisa biashara Halmashauri ya Mji wa Mbinga  

Akitoa ufafanuzi juu ya kuto rejesha mkopo  kwa wakati, Mwanasharia Ndg Kassim Adam Kassim amesema,  mikopo inatolewa kwa mujibu wa sheria, hivyo kushindwa kurejesha kwa  wakati, sheria na kanuni zinamlazimu kuzidai fedha hizo kwa njia ya Mahakama na kusisitiza kuwa  hilo ni takwa la kisheria hivyo wanavikundi wanashauriwa kuhakikisha wana rejesha mikopo hiyo kwa wakati ili kuepuka kufikishwa Mahakamani.

Na Makangury

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.