• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MKUU WA WILAYA YA MBINGA ATAKA SHULE ZITUMIE UNGA ULIOONGEZWA VIRUTUBISHO

Tarehe ya kuwekwa: October 25th, 2023


Na Rahma Mwaka & Elizabeth Newa


Mbinga. Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Aziza Mangosongo amewataka maafisa lishe na watendaji wa kata kuhakikisha shule zinapata unga wenye virutubisho ili kutokomeza udumavu na utapiamlo.


Mkuu wa Wilaya alitoa agizo hilo ofisini kwake wakati wa kikao cha lishe  cha robo ya kwanza ya muhula wa pili (Julai - Septemba) kilichofanyika mwishoni mwa wiki jana. 


Mhe. Aziza aliwataka maafisa lishe na watendaji wa kata kuwaelimisha wamiliki wa mashine za kusaga nafaka kufunga mashine za kuongeza virutubisho ili kuongeza ubora wa viini lishe katika unga wa sembe.


"Hakikisheni shule zinakuwa na bustani za mbogamboga na miti ya matunda inapandwa ili wanafunzi wapate mlo kamili," aliagiza Mhe. Aziza.


Pia aliwasisitiza maafisa lishe kufuatilia utunzaji wa chakula na kuelekeza namna bora ya utunzaji katika shule zote ili kiweze kutumika kwa muda uliopangwa.


Aliwaagiza watendaji wa kata kuhakikisha wazazi wanachangia chakula shuleni ili watoto wapate chakula kwa kuwa kitawasaidia kuwa na utulivu katika masomo na kuimarisha afya zao.


Mwakilishi  wa Kampuni ya SANKU Bw. Christian Seme alisema Kampuni hiyo inatoa virutubisho, mifuko na kufunga mashine za kuongeza virutubisho bure katika taasisi za serikali.


SANKU ni mtoa huduma katika programu ya kuchanganya virutubishi kwenye unga wa mahindi.


Bw Seme aliongeza kuwa hadi sasa wamefunga mashine tatu katika Wilaya ya Mbinga ambazo zipo Mkako, Kigonsera na Kinyero.


Afisa lishe wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Martin Kwimba aliwasilisha tathimini ya lishe kwa robo ya kwanza ambapo alibainisha kuwa katika maonesho ya nanenane  watu waliofikiwa ni  121, ambapo waliokuwa na hali nzuri ya lishe  ni 70,  uzito uliozidi 40 na uzito uliokithiri 11.


Pia, aliongeza, katika mnada wa sabasaba watu  waliofikiwa ni 102 waliokuwa na hali nzuri ya lishe 66, uzito uliozidi 24 na uzito uliokithiri 10.

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS,DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki