• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MUSE MFUMO MPYA WA KIUHASIBU NI MSAADA MKUBWA KWA WAKURUGENZI NCHINI

Tarehe ya kuwekwa: July 23rd, 2021

Wakurugenzi Mkoani Ruvuma wamepata semina ya  Mfumo mpya wa kiuhasibu (MUSE)  ili uweze kuwasaidia kama wahasibu wakuu katika Halmashauri zao . Akifungua semina hiyo mratibu wa mafunzo hayo kwa Wakurugenzi, Kaimu katibu tawala Mkoa Ndg Joel Mbewa   amesema mfumo huu ni mpya hivyo ni muhimu kwa wakurugenzi  kupata mafunzo hayo ili kuwasaidia katika utekelezaji wa majukumu ya kilasiku katika Halmashauri zao

Awali  Serikali kupitia Halmashauri nchini  imekuwa ikipoteza fedhanyingi katika kugharamia baadhi ya mifumo  ya kiuhasibu na pia mifumo hiyo kuwa na chanagamoto ya kutoweza kufanya kazi na mifumo mingine kwa ufanisi zaidi. Muse ni mfumo wa kiuhasibu ambao umetengenezwa na kuandaliwa na watanzania wazalendo na kwamba mfumo huo utawasaidi wakurungenzi wa Halmashauri nchini katika kuaandaa taarifa na kupitisha malipo mbalimbali ya Serikali.

Kwa upandewao Wkurugenzi wa Halmashauri hizo wameishukuru Serikali kupitia OR Tamisemi kwa kuona umuhimu wa kuwa na mifumo yetu wanyewe ili kuleta tija kwa maslahi mapana ya nchi yetu. “Mfumo huu utasaidi pia kudhibiti mapato na matumizi katika Halmashauri zetu hivyo tunaomba semina hii iwe endelevu kwa kujifunza zaidi ili tuweze kutekeleza majukumu yetu ya kilasiku kwa ufanisi zaidi” walisema Wakurugenzi hao.

Na Makangury

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • ‎MBINGA MJI YAHITIMISHA ZIARA YA UTAMBULISHO WA MIRADI YA MAENDELEO

    July 24, 2025
  • MKURUGENZI MBINGA MJI AENDELEA NA ZIARA KUTAMBULISHA MIRADI

    July 23, 2025
  • ‎MKURUGENZI MBINGA MJI AFANYA ZIARA YA UTAMBULISHO WA MIRADI ‎

    July 22, 2025
  • MKURUGENZI MBINGA MJI ATEMBELEA MAANDALIZI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA MWAKA WA FEDHA 2025/26

    July 16, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki