• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MWENYEKITI WA MBINGA MJI ATOA SIKU 10 MIRADI YA BAKAA IKAMILIKE

Tarehe ya kuwekwa: January 30th, 2024


Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari…Mbinga TC


Mbinga. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mhe. Kelvin Mapunda ametoa siku 10 kwa mafundi wanaotekeleza miradi ya bakaa kukamilisha kazi yao na kukabidhi kwa Halmashauri.


Agizo hilo lilitolewa jana, Januari 29, 2024 wakati wa ziara yake ya kukagua miradi sita ya bakaa yenye thamani ya jumla ya Shilingi milioni 232.


“Ninatoa siku 10 kuanzia kesho (leo---Januari 30) miradi yote ya bakaa ambayo haijakamilika, ikamilike,” alisema Mh. Mapunda.


Tafsiri yake ni kwamba miradi yote inatakiwa ikamilike kabla au ifikapo Februari 8 mwaka huu.


Miradi ambayo Mh. Mapunda alitembelea ni ujenzi wa madarasa matatu katika shule ya Msingi Mbinga (milioni 60), madarasa mawili katika shule ya Msingi Mateka (milioni 40) na madarasa mawili katika Shule ya Msingi Myangayanga (milioni 40).


Miradi mingine ni  ujenzi wa Shule mpya ya msingi ‘Lusewa’---madarasa mawili na ofisi moja (milioni 26), madarasa mawili katika shule ya msingi Beruma, kata ya Betherehemu (milioni 26) na madarasa mawili katika Shule ya Msingi Utiri (Milioni 40).  


“Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais shupavu Dkt. Samia Suluhu Hassan ilitoa pesa kwaajili ya kutekeleza miradi hii. Hivyo basi, tunapaswa kutekeleza miradi hii kwa wakati na ubora wa hali ya juu,” alisema Mh. Mapunda.


Alimpongeza Mhe. Rais kwa jitihada zake za kuwasogezea wananchi huduma za kijamii.


Kwa upande wake Diwani wa Kata ya Betherehemu alimshukuru Mhe. Mwenyekiti: “Asante kwa namna mnavyotubeba. Asante kwa miradi mliyotuletea.”

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS,DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki