• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

RUVUMA YATOA MIKOPO YA SH3.1BILIONI

Tarehe ya kuwekwa: March 8th, 2024



Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari….Mbinga TC


Mbinga. Katika kipindi cha miaka mitatu kiasi cha shilingi bilioni 3.135 kilitolewa kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu mkoani Ruvuma kama mikopo itokanayo na asilimia kumi ya mapato ya ndani ya Halmashauri.


 Akizungumza Machi 8, 2024 wakati wa maadhimisho ya siku ya Wanawake ambayo kimkoa yalifanyika katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Kanali Laban Thomas alisema kiasi hicho kilitolewa kwa vikundi 557 kati ya mwaka wa fedha wa 2020/21 na 2022/23


Alitoa wito kwa wanawake kujiunga kwenye vikundi vyenye tija na kuanzisha shughuli za ujasiriamali zitakazowainua kiuchumi na kuwawezesha kurejesha mikopo.


“Changamoto ya wanawake wengi ni kushindwa kurejesha mikopo. Mnaposhindwa kurejesha huu ni unyanyasaji kwa wakina mama wenzenu kwani mnawanyima fursa ya kukopa,” alisema Mh. Thomas.



Mkuu wa Mkoa aliziagiza halmashauri zote kuendelea kutenga asilimia 10 kutoka mapato ya ndani na kukopesha vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu pindi utaratibu mpya utakapotolewa na serikali.


Aprili mwaka jana serikali ilisitisha mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri hadi hapo utaratibu mwingine utakapotolewa.






RUVUMA YATOA MIKOPO YA SH3.1BILIONI


Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari….Mbinga TC


Mbinga. Katika kipindi cha miaka mitatu kiasi cha shilingi bilioni 3.135 kilitolewa kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu mkoani Ruvuma kama mikopo itokanayo na asilimia kumi ya mapato ya ndani ya Halmashauri.


 Akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya Wanawake ambayo kimkoa yalifanyika katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Kanali Laban Thomas alisema kiasi hicho kilitolewa kwa vikundi 557 kati ya mwaka wa fedha wa 2020/21 na 2022/23


Alitoa wito kwa wanawake kujiunga kwenye vikundi vyenye tija na kuanzisha shughuli za ujasiriamali zitakazowainua kiuchumi na kuwawezesha kurejesha mikopo.


“Changamoto ya wanawake wengi ni kushindwa kurejesha mikopo. Mnaposhindwa kurejesha huu ni unyanyasaji kwa wakina mama wenzenu kwani mnawanyima fursa ya kukopa,” alisema Mh. Thomas.



Mkuu wa Mkoa aliziagiza halmashauri zote kutenga asilimia 10 kutoka mapato ya ndani na kukopesha vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu pindi utaratibu mpya utakapotolewa na serikali.


Aprili mwaka jana serikali ilisitisha mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri hadi hapo utaratibu mwingine utakapotolewa.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.