• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

Serikali kupitia Halmashauri ya Mji wa Mbinga Idara ya ardi na Makazi Inatarajia kuingiza kiasi cha shilingi million 845.8

Tarehe ya kuwekwa: January 27th, 2023


Katika kuendeleza na kuupanga Mji wa Mbinga  Ofisi ya Mkurugenzi  Halmashauri ya Mji wa Mbinga  inawakaribisha wananchi wote wa Mbinga na nje ya Mbinga, makundi maalumu , Walemavu , Wajane na Walezi wa yatima, kuchangamkia fulisa ya kununua viwanja katika eneo la  Makongoela, kilomita 3 kutoka kitovu cha Mji wa Mbinga, kata ya Kilimani Halmashuri ya Mji wa Mbinga.

Aidha  katika kuweka utaratibu wa upatikanaji wa viwanja hivyo mwombaji asiwe na kiwanja au viwanja amabavyo avijaendelezwa sambamba na makundi maalum kupewa  kipaumbele. Mwombaji pia atalazimikuka kununua fomu  nambali 19 yenye gharamaya fedha za kitanzania shilingi elfu 20, sambamba na uwezo wa kulipa kiwnja ndani ya siku thelathini. Umiliki wa asili pia umetajwa kupwea kipaumbeli katika utaratibu wa utoaji viwanja katika maeneo hayao.

Kasi ya ukuwaji wa Mji wa Mbinga imekua kwa sasa hiyo wataalamu wa Ardhi na mipango Miji  katika Halmashauri hiyo wameshauri kuwa mwombaji kuendeleza viwanja hivyo pindi tu anunuapo ndani ya miezi 36 yaani miaka mitatu. Kupunguza migogoro isiyo ya alazima, kuwa na Mji uliopangwa kisasa katika miundombinu ya barabara na kuepuka  Ujenzi holela wa Mji wetu ni faida mojawapo zinazo tarajiwa sambamba na kuongeza mapato ya Halmashauri.

Mpaka sasa Halmashuri ya Mji wa Mbinga ina Viwanja Zaidi ya 500 ambavyo vinauzwa kwa fedha ya kitanzania Shilingi 1700 kwa mita za mrada ambavyo ni  viwanja vya makazi pekee. Kiasi cha shilingi 2000 Kwa mita za mraba ambavyo ni viwanja kwaajili ya Makazi na biashara, maeneo kwa ajili ya  matumizi ya viwanda vidogo ni shilingi 2500 kwa mita za Mraba na shilingi 5000 kwa mita za mraba ni maeneo ya Hoteli. Bei hizo pendekezwa ni bei zinajumuisha gharama za Umilikishaji na Umiliki     

 Serikali kupitia Halmashauri ya Mji wa Mbinga inatarajia kupata Jumla ya shilingi milioni 845.8 kama mauzo ya viwanja hivyo aidha katika hiyo kiasi cha shilingi milioni 139.6 ni gharama ya umilikishaji ambazo zita ingia serikali kuu  na kiasi cha shilingi milioni 719.7 zitaingia Halmashuri ya Mji ktokana ma mauzo ya Viwanja pamoja na ada ya maombi ya kumiliki ardhi. Hivyo.  Mkurugenzi Bi Grace Quntine anapenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha Wananchi wote Wawekezaji, Makampuni pamoja na Taasisi mbalimbali kujipatia viwanja katika maeneo hayo.

Na Makangury

Matangazo

  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2022 January 04, 2023
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Shule sita Halmashauri ya Mji wa Mbinga za jaza Mikataba kunufaika na ruzuku ya Mfuko wa Misitu Tanzania TaFF

    March 23, 2023
  • Wananchi Mtaa wa Lusewa kata ya Luhuwiko Halmashauri ya Mji wa Mbinga waibua Mradi Ujenzi shule ya Msingi

    March 04, 2023
  • DC MBINGA WANAWAKE OMBENI MITAJI KWA WENZIWENU

    March 01, 2023
  • Kamati ya Fedha na Mipango watembelea na Kukagua Shule ya Sekondari Lusonga

    February 27, 2023
  • Tazama zote

Video

DC Mbinga; Miradi itakayao tembelewa na Mwenge iandaliwe mampema
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.