• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

SERIKALI YATOA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 442 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA AFYA NA ELIMU MBINGA MJI.

Tarehe ya kuwekwa: April 1st, 2021

Awali akitoa semina kwa kamati hizo Afisa maendeleo ya jamii katika Halmashauri ya mji mbinga Bi Cecilia Mbata amewaamashisha wananchi kijitolea, kupokea,na kuthamini  miradi hiyo ili kuleta chachu kwa selikari kuendelea kuleta fedha kwaajili ya miradi ya maendeleo katika kata zao. 

Utololewaji wa semina elekezi kwa watendaji ,na kamati mbali mbali, za usimsmizi wa ujenzi na ukarabati  wa miradi  ya maendeleo, vyumba vya madarasa kwa shule za msingi, maabara kwa shule sekondari na Zahanati katika kata 12 za halmashauri ya mbinga mji. Umepata mwitikio mkubwa baaada ya wananchi kujitokeza na kuunda kamati hizo ili kushiriki na kuhakikisha miradi hiyo inakamilika  kwa wakati.

Hatahiyo Serikali kupitia halmashauri hiyo imetoa zaidi ya shilling milioni 442 ili kuakikisha miradi hiyo inakamilika kwa kwakati, ambapo milioni 150 kwa ajili ya umaliziaji wa zahanati 3,na milioni 292 kwajili ukarabati wa  vyumba vya maabara 4 na vyumba vya madarasa 9 .  

Semina hiyo imetolewa kila kata kupitia baadhi ya wataalamu  wa idara mbalimbali, ikiwemo Maendeleo ya jamii, idara Fedha,Takukuru, Mipango,Ujenzi na kitengo cha Manunuzi. Awali wataalamu hao wamehainisha  katika utekelezaji wa miladihiyo , uundwaji wa kamatihizo za  ujenzi, wameweka bayana kuwa watendaji wenyeviti wa vijiji  na madiwani hawataruhusiwa kua miongoni mwa kamati hizo, hivyo kubaki kuwa wasimamizi na washauri katika utekelezaji wa miradi hiyo.  

Niutaratibu kwa muujibu wa kanuni ya 167 kanuni ya ununuzi wa uma ya Mwaka 2013. Force Account ni njia ya ununuzi inayo tumika kwenye ujenzi ambao utekelezwa na taasisi kwa kutumia wataalamu   na vifaa vyake au wataalamu wa ndani lenye lengo la kupunguza gharama za ujenzi na ukarabati na kufanya utekelezaji wa mradi kukamilika kawa wakati, pasipo kuathili utendaji wa kilasiku wa taasisi wakati ujenzi unaendelea .

Wataalamu katika semina hiyo wa wamesistiza kamati hizo kufuata maelekezo waliowapa, kulingana na majukumu ya kila kamati yalio hainishwa katika miongozo ya utekelezaji wa miradi hiyo. Aidha wameongeza kuwa  kila kamati katika kila kata  kutoa taarifa ya maendeleo ya miradi kila hatua inayofikiwa  katika mihutasari ya kila kikao, ikiwemo upokeaji na ukaguzi wa vifaa, manunuzi na katika kamati ya ujenzi maelekezo ya ujenzi hatua kwa hatua.

Aidha wameongeza kua utunzaji wa kumbukumbu zikiwemo nyaraka za manunuzi, zabuni, mikataba, hati ya kukamilisha kazi, mapokezi na nyaraka za malipo mbalimbali ni muhimu kuhifadhiwa, hii pia itasaidia kutathmini thamani ya fedha ya ukarabati na ujenzi halisi. (Value for Money)  

Kwa upande wake msimsmizi wa seminahiyo, Mkurugenzi katika Halmashauri hiyo  Bi: Grace Quintine amesema fedha zimetolewa na serikali ni kwajili ya kumalizia ujenzi na si vinginevyo hiyo kuwaomba wanakamati kuwaamasisha wanachi na kujitolea ili kukamilisha miradi hiyo kwa wakati

Na Christian Makangury

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.