• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

SHULE YA MSINGI LAZI YASAINI MKATABA WA UFADHILI WA CHAKULA NA JESUS GRACE MISSION KUTOKA KOREA KUSINI

Tarehe ya kuwekwa: September 27th, 2023



Na Elizabeth Newa & Rahma Mwaka


Mbinga.  Jesus Grace  Mission chini ya  Bw. Jong Jin Kim  kutoka Korea Kusini imesaini mkataba wa mwaka mmoja wa ufadhili wa chakula katika shule ya msingi Lazi iliyopo katika Kijiji cha Lazi ndani ya Halmashauri ya Mji Mbinga.


Ufadhili huo ulioanza septemba 2023 na unaotarajiwa kumalizika septemba 2024, umeanza kwa kutoa unga wa sembe wenye virutubisho kiasi cha mifuko 100 yenye ujazo wa kilogramu 25 kila mfuko.


Bw. Kim alisema amekuwa akiwaza namna ya kuwasaidia wanafunzi wa shule hiyo na kuamua  kutoa unga wa mahindi wenye virutubisho  kiasi cha wastani wa kilo 70 kwa siku, na kwamba ufadhili huo ameutoa kwa  kushirikiana na marafiki, ndugu na familia yake.


"Ninatamani wanafunzi wa shule hii wawe na afya nzuri, ninaahidi kutoa huduma hii zaidi iwapo unga huo utatumika vizuri na ikiwa tofauti nitasitisha zoezi hili" Alisema Bw. Kim


Katibu tawala wa Wilaya ya Mbinga Pendo Daniel aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo ya utiaji saini  amewashukuru Jesus Grace Mission kwa kuamua kugharamia chakula katika shule hiyo kwa mwaka mmoja.


"Mfadhili huyu ametuonyesha njia baada ya kutoa chakula hiki, hivyo ninawaomba wazazi kujipanga ili mwaka unaofuata tuweze kuwalisha watoto wetu chakula chetu wenyewe" Alisema Bi. Pendo


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga  Bi. Amina Seif  aliwapongeza na kuwashukuru wafadhili  hao kwa ufadhili wa chakula  katika shule hiyo.


Nae Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Fred Fandey aliwashukuru wafadhili hao na kusema chakula hicho chenye virutubisho kitawapa wanafunzi afya nzuri na kuwa wenye uwezo wa kiakili.

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS,DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki