• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

TACTIC KUING'ARISHA MBINGA MJI KWA MIRADI SABA

Tarehe ya kuwekwa: May 20th, 2021

 (TACTIC) KUING'ARISHA MBINGA MJI KWA MIRADI SABA

Akisoma taarifa ya kupokea barua  kuutambulisha mradi  wa TACTIC na wataalamu kutoka OR TAMISEMI  kwa  madiwani , kaimu afisa mipango Mbinga  Mji  Ndg Joseph Mwagama ameliambia baraza hilo kuwa tarehe 15Aprili2021 Halmashauri ya mbinga mji imepokea barua kumbukumbu DMDP/PE/100/1 kutoka kwa Mtendaji mkuu wa Wakala wa barabara Vijijini na Mijini TARURA ambayo inawataka kufanya maandalizi  ya awali ya uibuaji wa miradi ambayo itatekelezwa chini ya mradi huo wa TACTIC (Tanzania Cities Transforming Infrastructure and Competitiveness Project)

Ataivyo tarehe 4 Mai 2021 Halmashauri ilipokea wataalamu kutoka OR TAMISEMI kwaajili ya kutoa ushauri namna ya uibuaji wa miradi kwa kuzingatia malengo ya mradi wa TACTIC sambamba na hayo wataalamu wa Halmashauri (CMT) walikaa na wataalamu hao pamoja na Meneja TARURA wa Halmashauri kujadili mambo mbalimbali ikiwemo lengo la mradi, kupata takwimu muhimu kuhusu mradi na kutembelea maeneo pendekezwa wakishirikiana na  wataalamu kutoka Halmashauri (CMT).

Mradi huo umehainisha baadhi ya  masharti ya kwamba, haitahusisha miradi ya kielimu Afya,pamoja na fidia kwa watakao athilika kwa maeneo yao kupitiwa na moja ya miradi hiyo na Mradi hauta tekelezwa katia eneo lenye mgogoro. Pia mradi huo umeona umuhimu wa kuwashirikisha wadau katika utekelezaji wa mradi huo ili kuleta fulsa kwa wanachi wa Mbinga na wanaruvuma kwa ujumla.  

Miradi hiyo ni ujenzi wa soko la kisasa,ambalo litasaidia kukuza mitaji nakuongeaza mapato katika Halmashauri. Mradi wa pili ni ujenzi wa miundombinu ya barabara kwa kiwango cha lami katika mitaa 26 ndani ya kata 8 za Mji wa mbinga sawa na kilomita 20 katikati ya mji. Mradi watatu ni  ujenzi wa soko la mazao ya kilimo katika kata ya Utili. Mradi wa nne ni  ujenzi  wa Maegesho ya  Malori Lusaka,

Kituo kikuu cha Mabasi Mbinga eneo la Mhekela na Mradi wa Uandaaji wa Mpango wa Matumizi bora ya Ardhi (Master Plan)  na Mradi wa mwisho ni Uimarishaji wa usafi na uondoaji taka  

Ataivyo baraza limepokea taarifa hiyo kwa mikono miwili na kuwaomba wataalamu wa  Halimashauri kushirikiana na Madiwani ili kubainisha maeneo pendekezwa kwa usahii ili kuepuka changamoto zitakazoweza kujitokeza marabaada ya mradi miradi hiyo kukamilika      

Na  Makangury

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Wajasiriamali Mbinga Mji washiriki Maonesho ya Sabasaba

    July 08, 2025
  • Mazoezi ya Viungo Mbinga Tc

    July 08, 2025
  • Kheri ya Sikukuu ya Sabasaba

    July 07, 2025
  • Mkurugenzi Halmashauri ya Mbinga Mji atembelea Maonesho ya Sabasaba Jijini Dar es salaam

    July 05, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.