• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

TRA WILAYA YA MBINGA YAVUKA MALENGO MAKUSANYO MAPATO KWA MWAKA WA FEDHA JULAI 2024 HADI MACHI 2025

Tarehe ya kuwekwa: April 24th, 2025

 

Kiasi cha Tshs Bilioni 8.3 kimeweza kukusanywa na Mamlaka ya amapato Tanzania Wilaya ya Mbinga TRA kwa mwaka wa fedha unaonza Julai 2024 hadi Machi 2025.

Akitoa taarifa ya makusanyo ya Mapato  Leo Aply 24  katika kikao cha bara za la biashara la Wilaya ya Mbinga, Meneja TRA Wilaya ya Mbinga Ndg; Anatory Muganda amesema, makusanyo hayo ni sawa na ufanisi wa asilimia 107.8 na kwamba wameweza kuvuka malengo, ambapo makadirio ya makusanyo yalikuwa ni kiasi cha Tshs Bilioni 7.7.

Baraza hilo likiongozwa na katibu tawala wa Wilaya Bi: Pendo Daniel kwaniaba ya Mkuu wa Wilaya, lililo hudhuliwa na wadau mbalimbali walipa kodi, baadhi ya wafanyabiashara, Taasisi mbalimbali, Jumuiya ya Wafanyabiashara maafisa wataalamu wa biashara kutoka Halmashuri zote mbili pamoja na Wakurugenzi.

Atahivyo Makusanyo hayo yamechangiwa na Utoaji elimu ya kodi kwa walipa kodi wakubwa na wadogo juu ya Umuhimu wa kulipa kodi kwa wakati, Usajili wa walipakodi wapya ambapo kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 walisajiliwa walipakodi wapatao 437. Utaratibu mzuri wa kuwashawishi walipa kodi wenye madeni kulipa madeni hayo kwa wakati.

Amesema ushirikiano mzuri uliopo baina ya Taasisi hiyo na wadau wengine ikiwemo ofisi ya Mkuu wa Wilaya, Halmashauri zetu za Wilaya ya Mbinga , Wafanyabiashara na taasisi zingine, uwajibikaji na uweledi wa wafanyakazi katika  kutoa huduma mbalimbali ambazo zimeleta ufanisi mkubwa wa makusanyo ya kodi. 

 Kwa upande mweingine Ndg: Muganda amewashukuru wadau mbalimbali wa kodi Wilaya ya Mbinga, Ikiwemo Ofisi ya Mkuu wa Wilaya, Wafanya biashara, maafisa biashara wa Halmashsuri zote za Wilaya, Jumuiya ya Wafanya biashara na taasisi za Serikali kwa Ushirikiano walioutoa kwa Taasisi hiyo.   

Na Makangulya

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • NAIBU WAZIRI KWAGILWA ARIDHISHWA NA UJENZI WA BARABARA YA UTIRI, MBINGA MJI

    January 11, 2026
  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki