• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

TUSHIRIKIANE KUTOKOMEZA UKATILI WA KINGONO

Tarehe ya kuwekwa: June 3rd, 2021

TUSHIRIKIANE KUTOKOMEZA UKATILI WA KINGONO DHIDI YA WATOTO  KWA KUTUNZA USIRI KATIKA JAMII  

Ukatili wa kingono umekuwa ukufanyika katika jamii ambapo kesi nyingi zimekuwa azilipotiwi kwa wakati. Makosa yanayo jitokeza  Vijijini na Mijini kumekuwepo na dhana ya kuwa mtuhumiwa ni ndugu wakaribu, yaweza kuwa ni mwenye cheo au wadhifa fulani katika familia husika,  ambapo kwa namnamoja au nyingine dhana hiyo imekuwa kama kinga kuwaficha wahalifu hao na kufanya ukatili huo kuendelea kuwepo kwakuwa watuhumiwa hawachukuliwi hatua za kisheria   

 Semina hiyo ilio kuwa ikitolewa na mashirika ya CSSC, PACT, PEPFAR,na USAID  wakiwashirikisha  viongozi katika ngazi ya kata wakiwemo Walimu,Watendaji wa kata, Wazee wa Mila, Wachungaji, Polisi Dawati la jinsia  na Madiwani . Viongozi hao wametakiwa kuwa wafuatiliaji pamoja ya kwamba wao ni viongozi na  pia ni wazazi wanapaswa kujua niwapi mtoto anaweza kuwepo na kwa usalama kiasi gani     

Maeneo kama Nyumbani, Mashuleni  na maeneo yanayo tuzunguka yamebainishwa kuwa na ukatili wa kingono kwa watoto, na kwamba viongozi hawo wametakiwa kushirikiana kuwabaini watuhumiwa, bila kujali nafasi au wadhifa wa mtu  alionao ili kuwafikisha katika vyombo vya sheria. Pia viongozi hao wametakiwa kuwa wafuatiliaji wa kesi hizo na kuakikisha sheria ifuatwe pindi itathibitika kufanyika ukatili huo.

Ata hivyo utolewaji wa taarifa kwa matukio ya ukatili wa kingono imeshauriwa yawe yenye  usiri katika jamii  hii itasaidia vyombo vya usalama kufanya uchunguzi kwa usahii na kuwabaini watuhumiwa  pasipo na shaka. Kama viongozi pia yatupasa kumwakikishia mtoto kua sioyeye mtenda kosa, kumwamini hii  itampa mtoto ujasili kusaidia kupata taarifa sahii na mapema   

Utambuzi wa lasilimali zinazo tuzunguka kama Vituo vya Afya, Wataalamu wa Sheria, Dawati la jinsia, Usalama wa polisi, kama viongozi watambue hilo na pia kiongozi anawajibu  kuzikemea mila potofu kwa jamii ,tukiyafanya hayo kwa kushirikiana tutaweza kuepuka Ukatili wa Kingono kwa watoto na jamii kwa ujumla

Na Makangury    

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.