• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

VIKUDI 36 VYA TEMBELEWA KAGULIWA MIKOPO ASILIMIA10 HALMASHAURI YA MJI WA MBINGA

Tarehe ya kuwekwa: July 14th, 2025

Mbinga. Kamati ya Uhakiki ya Mikopo Wilaya ya Mbinga, imefanya ukaguzi  kwa vikundi vilivyopata mkopo wa asilimia kumi katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga.


 Akiongoza kamati hiyo katibu tawala wa Wilaya Bi. Upendo Danieli. Ametoa rai kwa wanavikundi kutumia mikopo hiyo kwa lengo walilo kusudiwa kama walivyo andika katika maadiko ya miradi husika, na kwamba kutumia mikopo hiyo kinyume na makusudio ya maombi nikosa kisheria. 

 

Kwa upande mwingine, baadhi ya vikundi wameonekana kufanya vizuri katika utekelezaji wa miradi yao kwa mikopo waliyopewa, kwa mradi wa mtu mmoja mmoja na kwa miradi ya vikundi. 


Mikopo ya asilimika kumi yaani 4, 4, 2 ni mikopo inayotolewa na serikali kwa Wanawake aslimia 4, Vijana asilimia 4 na aslimia 2 kwa Makundi maalumu nchini Tanzania.  

          

 Ikumbukwe kuwa , hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan aliruhusu mikopo ya asilimia kumi kutolewa mara baada ya kusitishwa kwa mikopo hiyo, kutokana na matumizi yasio sahihi na marejesho duni kwa baadhi ya wanavikundi.


Ata hivo kamati hiyo amesistiza na kuwashauri kwa wanavikundi kuhakikisha wanarejesha marejesho yao kwa wakati, sambamba na kuwashirikisha wataalamu wa maendeleo ya jamii walio katika maeneo yao ili kuweza kutatua changamoto zinazo wa kabili. 


Kiasi cha Tshs Milioni 379,858,050 zimetolewa na kukopeshwa kwa vikundi 36 ikiwa ni awamu ya kwanza katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga.


Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS,DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki