• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

WAJASIRIAMALI MBINGA MJI WAELIMISHWA MATUMIZI SAHIHI YA KEMIKALI

Tarehe ya kuwekwa: September 5th, 2024


Mbinga. Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali wametoa elimu kwa wajasiriamali Halmashauri Ya Mji wa Mbinga juu ya matumizi sahihi ya kemikali.


Elimu hiyo  ilitolewa  katika ukumbi wa wazi ndani ya  jengo la Halmashauri ya Mji wa Mbinga imeongozwa na Meneja wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia mkuu wa Serikali kanda ya kusini Bi. Hadija S. Mwema.


Meneja wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu kanda ya Mashariki Danstan Mkapa amewaomba wajasiriamali kuzingatia matumizi sahihi ya kemikali na uhifadhi wa kemikali kutokana na madhara yake.


Pia amewashauri wajasiriamali hao wanaotumia kemikali kujisajili ili kuweza kutumia kemikali hizo.


“Kama mtumiaji wa kemikali unatakiwa kuzingatia uhifadhi wa kemikali hizo kama kutolala nazo chumbani kutokana na madhara yake”, amesema Bw. Mkapa.


Aidha, Mkemia Happiness Ndunguru amewataka wajasiriamali kuchukua hatua stahiki  za kujikinga na kemikali na kuhakikisha wanajisajili SIDO pamoja na Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali ili kujiridhisha usalama wa kemikali hizi.


“Mnatumia kemikali kutengenezea vitu kama sabuni, batiki na vingine ni muhimu kuhakikisha utunzaji mzuri wa kemikali hizo kwa usalama wa Afya zenu,.” amesema Bi. Happiness


Kwa upande wa Mteknolojia wa Maabara Loveness Lawrence amewataka wajasiriamali kudhibiti kemikali bashirifu ambazo kwa kiasi kikubwa pia zinatumika kutengeneza madawa ya kulevya.


"Tunatakiwa kudhibiti kemikali bashirifu ambazo zina hatari na hubadilishiwa matumizi na kutengeneza madawa ya kulevya kama Heroine na cocaine” amesema Bi. loveness


Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS,DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki