• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

WAKULIMA MBINGA WATUMIE KILIMO CHA KISASA ILI KUONGEZA SOKO LA BIDHAA

Tarehe ya kuwekwa: August 10th, 2023

Mkuu wa wilaya ya Mbinga Bi Aziza Mangosongo amehairisha rasmi maonesho ya nane nane yaliyokuwa yakiendelea katika viwanja vya  Aziza Ally  Mangosongo vilivyopo Kata ya Amani Makolo Mkoani Ruvuma

Akizungumza katika maonesho hayo Mkuu wa Wilaya kwa kushirikiana na viongozi mbalimbali kutoka maeneo tofauti tofauti ndani ya Mkoa na nje ya Mkoa  amewataka wakulima na wananchi kuendelea kujitokeza katika kuendelea kulitumia eneo hilo la Maonyesho kwa shughuli mbalimbali pamoja na kujifunza namna bora ya uzalishaji wa mazao ya kisasa ambayo yataongeza thamani katika soko. 

Hata hivyo mkuu wa Wilaya amezipongeza Taasisi na Tarafa mbalimbali za Wilaya ya Mbinga na Mbinga Mji kwa kuweza kujitokeza kwa wingi. Pia baadhi ya tarafa zimeweza kufanya vizuri katika uandaaji na umalizaji mzuri wa maonesho hayo ikiwa pamoja na ugawaji vyeti vya ushindi kwa washiriki waliofanya vizuri katika maenesho hayo.

Aidha amewataka viongozi wa  Kata ya Amani Makolo kuweza kuwapa fursa wananchi wa maeneo hayo kutumia viwanja hivyo kwa shughuli za kibashara alimaarufu kama minada na kuweka stendi ya mabasi ili kuweza kuzoea eneo hilo na kuepukana changamoto kwaajili ya  mwakani.

Sanjari na hayo Mkuu wa Wilaya amemaliza kwa kutoa wito kwa washiriki wote pia wananchi kuendelea  kutembelea maeneo hayo  ili kuendelea kujifunza namna bora ya kilimo na ufugaji ili kuleta tija katika Wilaya na Taifa kwa ujumla

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS,DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki