• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

Wakulima wa kahawa Mbinga na Nyasa wapata Soko la Moja kwa Moja

Tarehe ya kuwekwa: February 17th, 2023

Serikali Mkoani Ruvuma imewahakikishia wakulima na wazalishaji wa kahawa Wilaya za Mbinga na Nyasa, kupata masoko ya ukakika ya  moja kwa moja  ya zao hilo kwa Makampuni kutoka Mataifa ya  Urusi, China na Nchi za Kiarabu (Dubai) kwa msimu huu wa kilimo.

Uhakika huo ametolewa leo na  Mbunge wa Mbinga Mjini Mhe; Jonas Mbunda katika kikao cha wadau wa zao la Kahawa kilichoshirikisha Wilaya hizo mbili za Mkoa wa Ruvuma kilichofanyika katika ukumbi wa  Oddo Mwisho Halmashauri ya Mji Mbinga.

Sambamba na hilo kwa namna ya pekee Mkurugenzi wa  Halmashuri ya Mji wa Mbinga  Bi Grace Quintine pia alipata wasaa wa kuwatambulisha wageni wanunuzi wa zao hilo kutoka nchi za Kiarabu  ( Dubai ),Urusi na China, nakusema wageni hao wamepatikana kwa jitihada za waheshimiwa wabunge Jonas Mbuna na  Mbunge viti maalumu songea Mjini Jackline Msongozi kuendelea kutafuta masoko kwa wakulima hapa nchini hususani katika Mkoa wa Ruvuma kwenye zao la Kahawa.

Kwaupande mweingine wageni hao wamesema,wamefurahi kuwepo katika mkutano huo na kwamba nimoja ya njia ya kufahamiana hususani kiabiashara hasa katika zao la kahawa, na  kwa sasa dunia inahitaji wakulima na wazalishaji kahawa kwa njia ya asili na sio ya kutumia mbolea za  kemikali, hivyo wakotayari kununua kahawa iliopo kwa sasa  kwa nchi za kiarabu ( Dubai ). Mataifa kama Urusi na china wanahitaji kahawa  isiyotumia mbolea zenye  kemikali.

Na Makangury    


Matangazo

  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2022 January 04, 2023
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Shule sita Halmashauri ya Mji wa Mbinga za jaza Mikataba kunufaika na ruzuku ya Mfuko wa Misitu Tanzania TaFF

    March 23, 2023
  • Wananchi Mtaa wa Lusewa kata ya Luhuwiko Halmashauri ya Mji wa Mbinga waibua Mradi Ujenzi shule ya Msingi

    March 04, 2023
  • DC MBINGA WANAWAKE OMBENI MITAJI KWA WENZIWENU

    March 01, 2023
  • Kamati ya Fedha na Mipango watembelea na Kukagua Shule ya Sekondari Lusonga

    February 27, 2023
  • Tazama zote

Video

DC Mbinga; Miradi itakayao tembelewa na Mwenge iandaliwe mampema
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.