• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

WANAFUNZI WASIO RIPOTI MASHULENI MSAKO NYUMBA KWA NYUMBA MBINGA MJI

Tarehe ya kuwekwa: May 27th, 2021

WANAFUNZI AMBAO HAWAJARIPOTI MASHULENI HADI SASA MSAKO NYUMBA KWA NYUMBA MBINGA MJI

Akipokea repoti ya lishe Mashuleni Mkuu wa wilaya Mbinga Mji Ndg Cosmas Nshenye amewakata watendji kuandaa utaratibu wa uchangiaji wa chakula mashuleni  wakishirikiana na kamati za chakula mashuleni katika kata zao. Aidha ameongeza kuwa watendaji  wapo kama serikali  kazi yao ni kuleta unafuu kwa wananchi katika kutoa huduma.

Sambamba na hayo Mkuu huyo wa Wilaya ametoa wito kwa watendaji hao kutekeleza sheria kama watendaji katika kata kwakua wao ndio wakurugenzi katika kata zao. Atahivyo amemtaka  Afisa lishe kuandaa muongozo  wa lishe bora kwa wanafunzi ili kusaidia chakula mashuleni na watendaji wakalisimamie zoezi hilo.

Kwa upande wao watendaji kata wamewataka wakuu wa idara na maafisa elimu kufanya kazi kwa kushirikiana, kutambua nafasi walizonazo katika kata,  ili kuepusha migongano katika kutekeleza majukumu yao na kuimarisha ufanisi wa kazi zao.

Akihoji swala  la wanafunzi ambao mkasasa hawaja ripoti mashuleni Mkuu huyo wa Wilaya amewataka  watendaji na maafisa elimu kata kutoa sababu  na haatua gani wamechukua dhidi  ya wanafunzi 296 ambao  hawajaripoti katika shule walizo pangiwa.  Wakijibu hoja  hiyo kwa upande wao, watendaji na maafisa elimu ngazi ya kata wamemweleza Mkuu huyo wa Wilya kuwa, wapo wanafunzi  waliojiunga  na shule binafsi na wengine kwenye vyuo mbalimbali.

 Pamoja na kutokuwa na hakika  kama kweli wamesajiliwa,viongozi hao wame mwakikishia Mkuu wa Wilaya kulifuatilia  na kuazimia kupita kaya kwa kaya  katika kata zao  wakishiriliana na maafisa elimu kata, kwa kuwa wao wana majina ya wanafunzi hao na taarifa zao

Kwa upande wake kaimu Mkurugenzi Ndg Donard Msigwa amesisitiza kuwa pamoja na ushauri mzuri wa Mkuu wa Wilaya amewaomba watendaji kata kutofanya kazi  kwa mazoea na kuchambua mambo pasiwe na kupisha jambo bila kuhoji.

  Na Makangury

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.