• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

Wananchi Mtaa wa Lusewa kata ya Luhuwiko Halmashauri ya Mji wa Mbinga waibua Mradi Ujenzi shule ya Msingi

Tarehe ya kuwekwa: March 4th, 2023

 Wananchi wa mtaa  wa  Masasi na Lusewa kata ya Luhuwiko Halmsahuri ya Mji wa Mbinga wame mshukuru  Mbuge wa  Jimbo la Mbinga Mjini  Mhe; Jonas Mbunda kwa kutoa vifaa mbalimbali vya umaliziaji wa  ujenzi wa shule ya Msingi Lusewa ambapo mbunge amehaidi kutoa matofari, 500 kwa ajili ya ujenzi wa matundu  vyoo mifuko 30 ya saruji na fedha kiasi cha shilingi laki tano akiwaunga mkono wananchi wa kata hiyo

Akisoma taarifa ya maendeleo ya mradi huo  kwa Mhe; Mbunge Afisa matendaji wa mtaa wa Masasi Ndg;Kasmir komba  amesema ujenzi wa shule ya Msingi Lusewa ulianza kujengwa tarehe 29/12/2022 ikiwa na lengo la kujenga vyumba tisa vya madarasa na ofisi nne ambapo kwa sasa wameanza na ujenzi wa vyumba vitatu na ofisi moja vyenye kughalimu kiasi cha shilingi milioni 60 na kwamba ujenzi umefikia hatua ya ringbim.

Amesema ujenzi huo mpaka sasa umeghalimu kiasi cha shilingi milioni 5 na laki moja ikiwa ni michango na nguvu za wananchi katika kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa shule hiyo .Ujenzi huo umekuja mara baada ya kuwepo kwa changamoto ya umbali mrefu unao waghalimu watoto wa maeneo hayo ,hivyo wazazi kufikia  makubaliano ya kuanzishwa kwa ujenzi wa shule hiyo na kuhazimi kuchangia shilingi  250,000 sawa na shilingi 500,000 kwa kaya na michango bado inaendelea.    .         

 Katika hatua nyingine wananchi katika kata hiyo wamemshukuru  Mhe; Mbunge kwa jitihada alizozifanya katika upatikanji wa eneo waliloanzisha ujenzi wa shule hiyo. Hata hivyo Mhe; Mbunda amehaidi kushirkiana na Diwani wa kata hiyo Mhe; David Mapunda  kuendelea kuweka mkazo  katika uchangiaji wa unjenzi wa shule hiyo. “Pamoja na changamoto za urefu wa taratibu zilizopo katika usajili wa shule, kukamilika kwa ujenzi wa bomahili pamoja na matundu vya vyoo tunatamani kuiombea kuwa shule shikizi ya Beluma, Mahela au Masasi” alisema Mhe; Davi Mapunda diwani wa kata hiyo

Na Makangury   

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.