• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

WANANCHI WASHAURIWA KUJENGA KATIKA VIWANJA VILIVYOPIMWA

Tarehe ya kuwekwa: October 11th, 2023



Na Erasto George, Rahma Mwaka & Elizabeth Newa.


Mbinga. Mkuu wa idara ya Ardhi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bw. John Rikanga jana Oktoba 9, 2023 alitoa wito kwa wananchi wa Halmshauri hiyo kujenga maeneo yaliyopimwa na kupewa hati miliki ili kuepuka migogoro ya ardhi.


Bw. Rikanga alitoa wito huo  katika kampeni maalum ya kutoa elimu ya masuala yahusuyo usimamizi wa sheria, kanuni na taratibu za uendelezaji wa ardhi, kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga.



Alisema kutofuatilia hati miliki na kibali cha ujenzi kutoka idara ya Ardhi na Mipango Miji inaweza kupelekea kubomolewa nyumba na kukosa huduma za kijamii kama vile maji, umeme, barabara na afya.


"Kupitia ofisi zetu, mikutano ya hadhara ya mitaa na vijiji, na hata redio ambazo zipo katika Halmashauri yetu, tumekuwa tukitoa elimu kwa wananchi kuhusu maeneo wanayotaka kununua na kujenga nyumba," alisema Bw. Rikanga.


Aliongeza: " Halmashauri ya Mji wa Mbinga isiyokuwa na migogoro ya ardhi inawezekana kama kila mwananchi atazingatia taratibu zilizopo."


Mwananchi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga John Tiliah alieleza kwamba kuna umuhimu wa kumiliki viwanja vilivyopimwa ili kufikiwa na huduma za kijamii kwa urahisi.


Mwananchi mwingine, Alex Martin aliiomba serikali kuendelea kuwaelimisha wananchi kuhusu upimaji wa ardhi na kupata hati miliki ili kuepuka  migogoro ya ardhi.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.