• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

WANANCHI WATAKIWA KUFUATA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI ILI KUJIKINGA NA AJALI

Tarehe ya kuwekwa: October 10th, 2023



Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari----MTC


Mbinga. Kitengo cha Usalama Barabarani kimewataka watumia vyombo vya moto na waenda kwa miguu katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga (MTC) kuheshimu sheria za usalama barabarani ili kuepusha ajali.


Wito huo ulitolewa jana Oktoba 9, 2023 wakati wa mkutano na walimu wote wa sekondari katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga uliofanyika katika shule ya Sekondari Makita.


 Mkutano huo pia ulilenga kukumbushana majukumu mbalimbali yakiwemo ya maendeleo ya matumizi ya KPI (Key Performance Indicators) kwa walimu na programu ya shule salama.


Mkaguzi wa Jeshi la Polisi ambaye ndiye Mkuu wa Usalama Barabarani Wilaya ya Mbinga Augustino Pallangyo aliwataka watumishi wa umma kuwa mstari wa mbele katika kutoa elimu ya umuhimu wa kufuata sheria za barabarani.


“Tatizo la Watanzania tunaogopa mtu (askari wa usalama barabarani) kuliko sheria, hii si sawa,” alisema Bw. Pallangyo wakati wa mkutano ulioongozwa na Bw. Stuwart Kuziwa, Afisa Elimu---Sekondari katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga



“Ukiona kuna uvunjifu wa sheria, toa taarifa ili kuepusha majuto ambayo yanaweza kutokea baada ya ajali.


 “Suala la elimu ya usalama barabarani si la mtu mmoja. Tunapaswa kushirikiana ili kutatua tatizo la ajali za barabarani hususani zinazohusisha bodaboda ambazo zimekuwa ni janga kubwa.


“Unakuta mtu anajifunza kuendesha pikipiki leo halafu kesho yuko barabarani, hii haikubaliki.”


Alionya: "Msipitie njia za panya kupata leseni."


Bw. Pallangyo aliwataka waendesha vyombo vya moto kuingia barabarani pindi tuu wanapokuwa na uwezo wa kudhibiti vyombo hivyo na si vinginevyo.


Aliongeza: “Ili kuhakikisha usalama wa wanafunzi pindi watumiapo barabara,  mnapaswa mara kwa mara kuwapa ABCs za usalama barabarani.”


Mkaguzi wa Magari katika Wilaya ya Mbinga Khalid Mgallah alisema: “Ajali za barabarani ni tatizo kubwa sana na suluhisho lake ni utoaji wa elimu kuhusu sheria za usalama barabarani.”

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.