• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

WATAALAM WA KILIMO NA MAAFISA UGANI WATAKIWA KUJA NA MAJIBU YA MAZAO MBADALA KUSAIDIA UWEKEZAJI KATIKA HALMASHAURI ZA MBINGA

Tarehe ya kuwekwa: April 22nd, 2021

 Akifungua kikao, mwenyekiti wa Baraza la biashara ambae pia ni Mkuu wa Wilaya  ya Mbinga Mhe . Cosmas Nshenye amewataka waataalamu wa kilimo na maafisa ugani kufanya tafiti na kupata majibu ya ni ainagani ya udogo na utafaa katika mazao yapi  ili kuleta wigo mpana kwa wakulima na kuwa na mazao mbadala katika uwekezaji na sio kilimo cha mahidi pekee. 

Atahivyo wataalam hawo wamesema uzalishaji mkubwa usitegemee beiyake kuwa juu hivyo wakulima  wachukulie changamoto hiyo kama fulsa kwa kuanzisha viwanda ili kuongeza thamani ya mazao hayo .na kuwa taka mafiasa masoko kutafuta masoko ndani na nje ya nchi 

Akizungumzia kuhusu fursa za uwekezaji zilizopo Kiamili, ambako ni Makao Makuu ya Halmashauri, Mkurugenzi Mnwele amesema kwa sasa Halmashauri hiyo inatekeleza mradi wa ujenzi wa jengo la Ofisi ya Mkurugenzi  na ujenzi wa stendi ya mabasi na kwamba anatoa hamasa na kuwakaribisha wadau wa uwekezaji kuchangamkia fursa zilizopo ndani ya eneo hilo, akitolea mfano kuwekeza kwenye ujenzi wa vibanda zaidi ya 200 vya biashara vitakavyojengwa kuzunguka eneo la stendi kwa kuingia ubia na Halmashauri hiyo.

Kikao cha Baraza la Biashara Wilayani Mbinga kimefanyika na kuongozwa na Mwenyekiti wa Baraza hilo ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Mbinga, Mhe. Cosmas Nshenye na kuhudhuriwa na viongozi, wafanya biashara na wadau wa biashara kutoka Halmashauri zote mbili za Wilaya ya Mbinga ambazo ni Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga na Halmashauri ya Mji wa Mbinga.

Na Makangury

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.