• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

WATUMISHI WA HALMASHAURI ZA MKOA WA RUVUMA WAPATIWA MAFUNZO YA MFUMO MPYA WA MANUNUZI

Tarehe ya kuwekwa: August 29th, 2023


Na Alex Malanga

Afisa Habari----MTC

Mbinga. Mafunzo ya siku tano ya mfumo wa kielektroniki wa ununuzi wa umma (NeST) kwa watumishi wa Halmashauri za mkoa wa Ruvuma yalifunguliwa Augosti 28, 2023.

Mafunzo hayo yanaofanyika katika ukumbi wa Oddo Mwisho uliopo Halmashauri ya Mji wa Mbinga (MTC),  yalifunguliwa na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Jumanne Mwankhoo.

Mafunzo yanaratibiwa na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ikishirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA).

Washiriki ni maafisa sita kutoka kila Halamashauri.

Halmashauri husika ni zile za Mji wa Mbinga, Wilaya ya Mbinga, Wilaya ya Songea, Manispaa ya Songea, Wilaya ya Nyasa, Namtumbo, Madaba na Tunduru.

Bw. Mwankhoo alisema kutokana na ubora wa mfumo mpya, wanufaika wa mafunzo wanapaswa kuwa walimu wa watumishi wengine.

"Watumiaji wa mfumo wa zamani walikuwa ni kitengo cha manunuzi tuu lakini kwa sasa itakuwa ni vitengo vyote," alisema.

Bw. Mwankhoo aliongeza: " Ni mfumo muhimu. Tujitahidi kuuelewa. Baada ya siku tano za mafunzo  mkawe walimu na mabalozi wazuri wa mfumo huu."

Kwa vile taarifa za awali za wazabuni zitakuwa zimepitiwa na PPRA na kuthibitishwa na mifumo iliyounganishwa, taasisi za umma hazitapoteza muda kuanza kupitia upya taarifa hizo.

Hii ni kwa mujibu wa moja ya wakufunzi wa mafunzo hayo Piniel Mbura

Aliongeza kuwa kwakutumia mfumo mpya, taasisi za umma zinaweza kupata bidhaa au huduma zinazotaka kwa muda mfupi PPRA au taasisi nyingine kwani taasisi hizo zitakuwa na uwezo wa kuzipata kwenye mfumo.

“Mfumo huu utaondoa usumbufu wa kuwasilisha taarifa za michakato ya ununuzi,”aliongeza Bw. Mbura.

Mfumo wa NeST ni mbadala wa TANePS ambao umebainika kuwa na changamoto kadhaa zilizopelekea serikali kufanya mabadiliko ya mfumo.

Miongoni mwa changamoto hizo kwa mujibu wa moja ya wakufunzi wa mafunzo hayo Piniel Mbura ni mahitaji mbalimbali ya serikali pamoja na wazabuni kushindwa kutekelezwa na mfumo wa zamani.

Bw. Mbura alisema mfumo wa TANePS umekuwa na hitilafu za kiufundi za mara kwa mara.

Alisema kutokana na kutokana na mfumo ulivyojengwa na teknolojia ilivyotumika ikekuwa vigumu kufanya marekebisho ambayo yatakidhi mahitaji au kuondoa kabisa changamoto.

“Kumekuwa na malalamiko kwa baadhi ya watumiaji kutokana na mfumo kutokuwa rafiki,” alisema Bw. Mbura, ambaye pia ni katibu tawala msaidizi ---Usimamizi, Ufuatiliaji na ukaguzi.

Hadi Juni mwaka huu, wazabuni 37,445 na taasisi za umma 866 zilikuwa zinatumia TANePS.

“Taasisi zote za umma zinaendelea kupatiwa mafunzo na ifikapo Oktoba 1, 2023 hakuna ununuzi utakaofanyika nje ya NeST,” alisema Bw. Mbura.

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS,DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki