• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

‎ZAIDI YA MILIONI 600 KUTEKELEZA MIRADI YA ELIMU MBINGA MJI

Tarehe ya kuwekwa: August 12th, 2025


‎‎Mbinga. Halmashauri ya Mji wa Mbinga imepokea kiasi cha shilingi milioni 622,380,905 kwa mwaka wa fedha 2025/26 kutoka kwa wahisani kupitia Mradi wa BOOST kwa ajili ya kutekeleza miradi ya kuboresha miundombinu ya elimu.

‎

‎Miradi hiyo inahusisha ukarabati wa vyumba sita vya madarasa na ofisi tatu katika Shule ya Msingi Mbinga, ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa na matundu sita ya vyoo katika Shule ya Msingi Kipungu, pamoja na ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika Shule ya Msingi Nyerere.

‎

‎Aidha, Shule ya Msingi Lusonga itanufaika na ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa na matundu sita ya vyoo, huku Mbambi Sekondari ikipatiwa shule mpya ya elimu ya awali na msingi.

‎

‎Taarifa kuhusu utekelezaji wa miradi hiyo zimetolewa katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Mkuu wa Wilaya ya Mbinga, kilichohudhuriwa na Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi wa Halmashauri, pamoja na wataalamu kutoka Halmashauri ya Mji wa Mbinga.

‎

‎Mkuu wa Wilaya ya Mbinga, Mhe. Kisare Matiku Makori, amesisitiza umuhimu wa miradi hiyo kukamilika kwa wakati ili kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa watoto na kuinua kiwango cha elimu katika jamii.

‎

‎Amewaelekeza wasimamizi wa miradi kuhakikisha fedha zilizotolewa zinatumika ipasavyo kwa malengo yaliyokusudiwa, na kununua vifaa vya ujenzi kulingana na mahitaji halisi ya miradi.

‎

‎Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga, Bi. Amina Seif, ameeleza kuwa ni muhimu kuwa na msimamizi mmoja wa miradi katika kila kata ili kuhakikisha usimamizi thabiti na kutoa rai kwa kamati za ujenzi kuhakikisha hakuna utofauti wa bei za vifaa vya ujenzi katika miradi inayofanana.

‎

‎Amesisitiza ushirikishwaji wa wananchi katika utekelezaji wa miradi hiyo, akiwataka kujitolea katika kazi kama kuchimba msingi na mashimo ya vyoo ili kupunguza gharama za ujenzi.

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS,DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki