• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MILIONI 330 KUSAIDIA UPIMAJI MAKAZI MBINGA MJI

Tarehe ya kuwekwa: September 16th, 2021

 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bi Grace Quintine  amewataka watenji wa kata waendelee kusubiri maelekezo kutoka kwa afisa ardhi ili kupata utaratibu wa vibali ambao utasaidia kuwa na mpango mzuri wa Mji wa Mbinga, Bi Grace ameyasema hayo apokuwa akitoa ufafanuzi juu ya vibali vya makazi katika Mkutano wa baraza la madiwani robo ya nne aprili-juni 2021 kilicho fanyika tarehe 15 septemba 2021 katika Halmashuri hiyo. Hatahivyo kiasi cha Tshs.milioni 330 itatolewa katika Halmashauri hiyo kwa ajili upimaji wa viwanja elfu mbili, ambapo maazimio kwa watendaji kusimamia utekelezaji ili Halmashauri iweze kuendelea

 Pamoja na  kushiriki katika kusimamia miradi ya maendeleo Madiwani katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga wametakiwa kushiriki katika swala la ulinzi na usalama katika wilaya yao. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe Aziza Ally Mangosongo alipokuwa akihutubia katika kikao cha baraza la Madiwani cha robo ya nne, aprili na juni 2021 kikao kilicho fanyika tarehe 14 Septemba 2021. Kwa upande mwingine Mhe Aziza amewataka Madiwani kuchukua taadhari juu ya Uviko 19 kuwaamasisha watu na wao Madiwani kujitokeza kupata chanjo ili kujikinga na maambukizi .

Mhe Aziza amewataka Madiwani kushirikiana kutokomeza swala la Magoma swala ambalo kwa kiasi kikubwa linamuumiza mkulima na kupunguza mapato ,hivyo  kusisitiza usimamiaji  na kubuni vyanzo vipya vya ukusanyaji wa mapato. Hatahivyo amewakumbusha viongozi hao wa kata kua usafi wa mazingira liwe swala endelevu pamoja na pongezi tulizozipata katika mbio za Mwenge bado kuna maeneo kama sehemu za mitalo ya barabara ni michafu hivyo tuendelee kuwaimiza watendaji wetu kufanya usafi wa mazingira

Mhe Aziza amewata madiwani na wao kushiriki katika mazoezi jambo amabalo litawasaidi kuwajenga kiafya na kuepukana na magonjwa yasio ambukiza hivyo kuwa na watendaji wenye nguvu na afya na ufanisi katika kazi. Ikubukwe hivi karibuni Mkuu huyo wa Wilaya alianzisha utaratibu wa kufya mazoezi kwa wakuu wa idara na taasisi za Serikali  kwa kutii agizo la Mhe Rais Samia Suruhu Hasani ya kutenga siku ya kufanya mzaoezi .    

 Akitoa taarifa ya mipango na utekelezaji wa shughuli wa TARURA kwa mwaka wa fedha 2021/2022 Meneja Tarura Eng. Ismail Mafita amesema ,TARURA Halmashauri wa Mji wa Mbinga ina barabara jumla 1,063.51 km kati ya hizo 6.84 km ni za lami, 58.65 km changarawe na 998.02 km udongo. 327.77 km ni za mjazio na 216.67 mkusanyiko. Hali ya barabara si nzuri kwani sehemu kubwa ni za udongo, takribani 18.9% ndio barabara ambazo zipo katika hali nzuri na wastani. Katika mwaka wa fedha 2021/2022, TARURA Mbinga Mji imetoa Tsh. bilioni 1.9 kwa ajili ya ukarabati na ujenzi wa barabara na madaraja pamoja na usimamizi. Tsh. 857,850,000 barabara za kawaida na madaraja Tsh. 500,000,000 ni nyongeza kwa ajili ya matengenezo hayo.

Mpango utahusu uibuaji wa miradi ya barabara na madaraja katika kata za Halmashauri ya Mji wa Mbinga katika kipindi cha miaka minne kuanzia mwaka wa fedha 2022/2023 hadi 2025/2026.                 Pia utahusu matengenezo ya barabara za kawaida na ujenzi wa madaraja, ujenzi wa barabara changarawe, lami na kufungua barabara mpya ambazo hazipo katika mtandao wa wakala.

 TARURA Halmashauri ya Mji wa Mbinga inaomba uongozi wa kata kupitia waheshimiwa Madiwani na watendaji wa kata  kwa Kuibua na kuandaa miradi itakayopunguza kero za miundombinu ya barabara na madaraja kuhakikisha miradi inachaguliwa kulingana na mahitaji kwa uwiano kati ya eneo moja na lingine, barabara na madaraja yanayohudumia sehemu za kijamii uzalishaji na uendelezaji wa uchumi, orodha ya miradi inayopendekezwa na kukubalika iwekwe katika mtiririko wa vipaumbele na vifuatane kulingana na umuhimu, pia miradi itayopendekezwa iwasilishwe kwa meneja TARURA.

Nae Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Ndg Kelvn Mapunda amweataka madiwani  kuweka vikao na viongozi wa kata iliakuya bainisha maeneo muhimu ya vipaumbele vya miradi ili kuweza kuzitatua changamoto za wanachi. Kwa upande mwingine Mbunge wa Mbinga Mjini Mhe Jonas W Mbunda  amewataka wataalamu na viongozi kuwaandaa taarifa sahii ili kuweza kujua changamoto za wananchi na kuzitatua

Na Makangury  

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.