• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji Mbinga

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

PPRA KANDA YA KUSINI YAWAJENGEA UWEZO WATUMISHI MBINGA TC KUHUSU SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA

Tarehe ya kuwekwa: January 19th, 2026

Watumishi wa Halmashauri ya Mji Mbinga leo tarehe 19 Januari 2026 wamepatiwa mafunzo ya Mfumo wa Manunuzi ya Umma (NeST) pamoja na sheria na taratibu za Ununuzi wa Umma, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuwajengea uwezo katika utekelezaji wa manunuzi kwa kuzingatia sheria, kanuni na miongozo iliyopo.

Mafunzo hayo yametolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) Kanda ya Kusini, ikiwa ni muendelezo wa utoaji wa elimu kwa watumishi wa umma kuhusu matumizi sahihi ya mfumo wa NeST na uelewa wa Sheria ya Ununuzi wa Umma.

Akifungua mafunzo hayo, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mbinga, Bw. Enock Ndunguru, amewasisitiza watumishi kushiriki kwa umakini ili kuongeza uelewa wao kuhusu taratibu za manunuzi, wajibu wa idara tumizi na idara ya manunuzi, pamoja na makatazo yanayopaswa kuepukwa katika utekelezaji wa manunuzi ya umma.

Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi mdogo wa Halmashauri ya Mji Mbinga na yamehudhuriwa na wakuu wa idara, vitengo pamoja na watumishi kutoka idara mbalimbali.

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • VIONGOZI WA MAJUKWAA YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI WAPATIWA MAFUNZO KWA KATA 19 MBINGA MJI.

    January 21, 2026
  • MKURUGENZI MBINGA MJI APOKEA RIPOTI YA AWALI YA MAFUNZO NA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO

    January 19, 2026
  • PPRA KANDA YA KUSINI YAWAJENGEA UWEZO WATUMISHI MBINGA TC KUHUSU SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA

    January 19, 2026
  • MBINGA YAFUNGUA FURSA MPYA ZA UWEKEZAJI

    January 17, 2026
  • Tazama zote

Video

MKUU WA WILAYA YA MBINGA AHITIMISHA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Halmashauri ya Mji Mbinga

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki