• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

HALMASHAURI YA MJI WA MBINGA YAZINDUA MPANGO WA UKOPESHAJI MITAJI VIKUNDI VYA WANAWAKE NA VIJANA KUPITIA 10% YA PATO LA NDANI

Friday 31st, March 2023
@OFISI ZA HALMASHAURI YA MJI MBINGA

Tukio hilo limefanyika leo katika ofisi za Halmashauri ya Mji wa Mbinga huku wawakilishi wa vikundi 10 kutoka maeneo mbalimbali ya Mji wa Mbinga wakuihudhuria. Akimkaribisha mgeni rasmi Mkurugenzi wa Mji Ndg. Robert K. Mageni amesema kuwa lengo la Halmashauri ni kutimiza kwa vitendo mpango wa bajeti unaoelekeza kuwa 10% ya pato la ndani litumike kuwapatia mikopo vikundi vya wanawake na vijana ili kuweza kuwainua kiuchumi na kuondokana na umaskini.

Akisoma taarifa mbele ya mgeni rasmi, Afisa kilimo wa Mji wa Mbinga Ndg. Maganga Ngahy amesema kuwa jumla ya vikundi 9 vinapata mkopo wa Mbegu za Tangawizi kilo 3900, Wanawake vikundi 3 na vijana vikundi 6 wenye thamani ya Tshs. 4,000,000/=(Milioni nne). Vikundi vilivyopata mkopo ni pamoja na NAKATETE- VIJANA (LIPILIPILI), AMANI- VIJANA (MPEPAI), TUPENDANE-VIJANA (PACHASITA), RANATA-WANAWAKE (KIHUNGU), TUELIMIKE-VIJANA (MIEMBENI), MJIMWEMA-VIJANA (MASIMERI), UMOJA-WANAWAKE (KIKOLO), JITUME-WANAWAKE (KIHUNGU) NA MATUMAINI-WANAWAKE (LUHANGAI). Vikundi hivyo vimepewa mikopo hiyo ambapo watarejesha kwa riba ya asilimia 10%. Halmshauri imekubali marejesho hayo yatafanyika baada ya mavuno kwa msimu wa 2017/2018.

Akihutubia wanavikundi Mgeni rasmi katika hafla hiyo Ndg. Cosmas Nshenye mkuu wa Wilaya ya Mbinga, amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Ndg. Robert K. Mageni kwa kutekeleza kwa vitendo ukopeshaji wa mitaji kwa vikundi vya wanawake na vijana. Amesema kuwa vikundi hivyo vinapaswa kutumia vizuri mikopo hiyo ili lengo la Serikali la kuinua uchumi wa wanawake na vijana litimie na hivyo waweze kuondokana na umaskini. Aliongza kuwa kwa kurejesha kwa wakati mikopo hiyo kutawawezesha vikundi vingine kupata mikopo kama hiyo.

Mhe. Mkuu wa Wilaya hakusita kuzungumzia umuhimu wa vijana kuunda vikundi kuwa ni pamoja , kukuza mtaji, kuongeza uelewa kwa vijana, ni rahisi kukopesheka na upatikanaji msaada.

Mwakilishi wa vikundi vilivyopata mkopo Bi. Renatha Cosmas Mbepera wa kikundi cha TUELIMIKE (MIEMBENI) ameshukuru uongozi wa Halmashauri ya Mji wa mbinga kwa vikundi kupewa mikopo hiyo na amesema kuwa mikopo hiyo itatumika kama ilivyokusudiwa na hivyo lengo la serikali la kuwawezesha vijana lifanikiwe.

Matangazo

  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2022 January 04, 2023
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Shule sita Halmashauri ya Mji wa Mbinga za jaza Mikataba kunufaika na ruzuku ya Mfuko wa Misitu Tanzania TaFF

    March 23, 2023
  • Wananchi Mtaa wa Lusewa kata ya Luhuwiko Halmashauri ya Mji wa Mbinga waibua Mradi Ujenzi shule ya Msingi

    March 04, 2023
  • DC MBINGA WANAWAKE OMBENI MITAJI KWA WENZIWENU

    March 01, 2023
  • Kamati ya Fedha na Mipango watembelea na Kukagua Shule ya Sekondari Lusonga

    February 27, 2023
  • Tazama zote

Video

DC Mbinga; Miradi itakayao tembelewa na Mwenge iandaliwe mampema
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.