• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji Mbinga

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MKURUGENZI MBINGA MJI APOKEA RIPOTI YA AWALI YA MAFUNZO NA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO

Tarehe ya kuwekwa: January 19th, 2026

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mbinga, Bi. Amina Seif, leo tarehe 20 Januari 2026 amepokea ripoti ya awali ya mafunzo ya kujengea uwezo na uandaaji wa Mpango Mkakati wa Halmashauri ya Mji Mbinga kwa kipindi cha miaka mitano (2026–2030).

Ripoti hiyo imewasilishwa na Timu ya Mpango Mkakati ya Halmashauri katika kikao maalum kilicholenga kutoa mrejesho wa mafunzo hayo, ambayo yamelenga kuwajengea uwezo wataalamu wa Halmashauri katika masuala ya upangaji, utekelezaji na ufuatiliaji wa Mpango Mkakati.

Wakati wa uwasilishaji wa ripoti hiyo, wataalamu wa Halmashauri wamemshukuru Mkurugenzi kwa kuwawezesha kushiriki mafunzo hayo yenye tija kwa taasisi, na kuahidi kuyafanyia kazi kwa vitendo ili kuleta matokeo chanya katika utekelezaji wa majukumu ya Halmashauri.

Akizungumza baada ya kupokea ripoti hiyo, Bi. Amina Seif amewapongeza wataalamu kwa maandalizi na wasilisho zuri, huku akiwahimiza kuyatekeleza kikamilifu maarifa na ujuzi walioupata ili Mpango Mkakati huo uwe chachu ya maendeleo, ufanisi wa utendaji kazi na ustawi wa watumishi pamoja na wananchi kwa ujumla.

Mafunzo hayo ni sehemu ya maandalizi ya uandaaji wa Mpango Mkakati wa Halmashauri ya Mji Mbinga kwa miaka mitano kuanzia mwaka 2026 hadi 2030.

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI MBINGA MJI APOKEA RIPOTI YA AWALI YA MAFUNZO NA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO

    January 19, 2026
  • PPRA KANDA YA KUSINI YAWAJENGEA UWEZO WATUMISHI MBINGA TC KUHUSU SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA

    January 19, 2026
  • MBINGA YAFUNGUA FURSA MPYA ZA UWEKEZAJI

    January 17, 2026
  • MKUU WA IDARA MAENDELEO YA JAMII AHAMASISHA VIKUNDI KUJISAJILI- MBINGA MJI

    January 15, 2026
  • Tazama zote

Video

MKUU WA WILAYA YA MBINGA AHITIMISHA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Halmashauri ya Mji Mbinga

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki