• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

‎JAMII YAHIMIZWA KULINDA HAKI ZA WATOTO

Tarehe ya kuwekwa: June 16th, 2025


‎Mbinga. Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yamefanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kitanda, kata ya Kitanda, yakiongozwa na kauli mbiu 'Haki za mtoto; tulipotoka, tulipo na tuendako.'

‎

‎Mgeni rasmi, Afisa Tarafa ya Mbuji, Bi. Salma Kipande, akimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Mbinga, Mhe. Kisare Matiku Makori, amesisitiza kuwa lengo la maadhimisho hayo ni kuwakumbusha wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kuhusu haki, wajibu, na usalama wa mtoto.  

‎

‎"Tunapaswa kutafakari jinsi haki za mtoto zinavyotekelezwa, zikiwemo haki ya kuishi, kushirikishwa, kutobaguliwa, kuendelezwa na kulindwa,"alisema Bi. Salma.  

‎

‎Aidha, ameeleza kuwa serikali imekuwa ikichukua hatua mbalimbali ili kuhakikisha watoto wanapata haki zao kwa viwango vyote, ikiwa ni pamoja na kutunga Sera ya Maendeleo ya Mtoto ya mwaka 2008 na Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009.  

‎

‎Ameongeza kuwa Serikali imeanzisha mifumo mbalimbali inayosaidia kulinda haki za watoto, ikiwemo uwepo wa madawati ya jinsia na watoto, madawati ya msaada wa kisheria, pamoja na huduma za ustawi wa jamii.  

‎

‎Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa zaidi katika nchi wanachama wa Umoja wa Afrika, kwani chimbuko lake ni mauaji ya watoto takribani 2,000 yaliyofanywa na utawala wa Makaburu nchini Afrika Kusini mnamo Juni 16, 1976.  Umoja wa Afrika uliamua kuenzi siku hiyo kama kumbukumbu ya tukio hilo na kuendelea kuhamasisha haki za watoto

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • ‎JAMII YAHIMIZWA KULINDA HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • Maadhimisho ya Mtoto wa Afrika Mbinga Mji kufanyika kata ya Kitanda

    June 13, 2025
  • Mbinga Mji Yatoa Mafunzo kwa Walengwa wa Mikopo 10%

    June 11, 2025
  • Sikukuu Njema ya EID AL ADHA

    June 07, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.